Elections 2015 Hongera Lowassa: Wewe ni bingwa wa siasa za Tanzania

Hata ivyo ilan ya CCM kwa miaka hyo yote hajawahi ongelea kuhusu umasikini na yeye alikuwa anatekeleza yalimo humo

Bayona;
Usimwonee mtu, uwe mkweli tu na mengine yoote yatajisema tuu. Tangu lini Lowasa akatekeleza kitu?? Wali mkata kwa sababu aliwaambia kuwa akishika atatenda tofauti na sera zao.
ccm hawajawahi kutaka kuuondoa umasikini kwani wanajua watu wakiondokewa na umasikini hawatawachagua tena. Ndo maana tunakuambia chagua UKAWA uone MABADILIKOOOOOO. Usiwasikilize ccm ati nao wanasema wataleta mabadiliko. Wenyewe wanaimba kuwa ccm ni ile ile hivyo ukiwachagua usijelia kama hakuna mabadiliko
 
Unatakiwa ujue majukumu ya mbunge kwanza kabla ya kubwabwaja. Madaraka ya raisi ndiyo yanaondoa umaskini. Kagame Paul, ameondoa umaskini akiwa Raisi, na siyo akiwa makamu wa raisi enzi za paster Bizimungu. Pale ikulu ndipo penye mamlaka ya kuondoa umaskini. Ukiona nchi ni maskini muulize Raisi wa nchi ambaye ni Head of state, Head of Government and Commander in chief of the armed forces.Wewe unamuuliza mbune kwanini sehemu hakuna maji, wakati nchi ina waziri wa maji aliyeteuliwa na Raisi wako dhaifu.
Vote for Lowasa vote for ukawa.
Mkuu umesahau kuwa Lowassa alikuwa waziri wa maji Enzi za Mkapa, je alilifanyia nini Taifa na kero ya maji.!
 
Hata ivyo ilan ya CCM kwa miaka hyo yote hajawahi ongelea kuhusu umasikini na yeye alikuwa anatekeleza yalimo humo

Bayona;
Nashukuru umeelewa kuwa alikuwa mtiifu kutekeleza yalokuwa kwenye ilani yao ambayo haya anayotaka kutekeleza hayakuwemo.
Mpe kura yako this tyme na atakutimizia yote alio nayo kwenye ilani mpya kwani huyu ni mtiifu sana
 
Idawa wewe utakuwa umechanganyikiwa mabadiliko ya kweli unayoyataka wewe ni yapi? Kama unaamini mabadiliko ya kweli ni yale yasiyohusisha mgombea mwenye tuhuma ningekuona unaakili kama ungefanya juhudi za kuwajenga na kuwasapoti Ana mgwira wa act au hashim rungwe au mgombea yeyote tofauti na magufuli na lowasa, lakini cha kushangaza umekuwa mnazi wa maccm lichama ambalo tulikuwa tunalinanga wote humu jamvini usiku na mchana hivi kwanini mnataka kutuaminisha ni nyinyi pekee ndo mna akili kuliko watanzania wote? Aahh mnakera sana.
Mkuu vipi kwema lakini.
 
Kuna mwanajamii forum alisema magufuli unaweza kumsema vibaya vyovyote ukiwa mbali ila ukibahatika kukutana naye utajikuta unapata upako wa kumkubali na kunsifia kama alivyofanya lowassa Leo.
Nami nasikia Magufuli ni mzuri kumsikia kwenye tv lakini sio live hivi.
Hata kama ulikuwa na hoja za kumpinga ukikutana nae lazima unywee.
 
Back
Top Bottom