Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

Namkubali LOWASSA katika uwajibikaji wa kazi ni mchapakazi but kwa URAIS no afya yake si nzuri.
 
Mkuu Mwakyomwango, ni kweli EL ana mali nyingi kwa kiwango cha Mwalimu by then. Je, utapenda nikuorodheshee mali walizonazo hao viongoozi wa baada ya Mwalimu ili tuzilinganishe?. Una taarifa by the time Mr. Clean anaondoka, Mwalimu angekuwepo, angeozea Segerea? Unazijua mali za Rukhsa? Au nikutajie mpaka mali za Dhaifu?.Kwa kigezo cha mali CCM hakuna msafi. Uchafu valid ni wa Richmond ila hilo ni zigo la mtu tuu, yeye ni mbebaji tu, muda muafaka ukifika, atalitua zigo hilo na mtamtambua mwenye zigo lake.P.
Pasco,Nafahamu kuwa wewe ni mshauri (consultant) wa siasa na habari wa Edward Lowasa. Ila mwambie kuwa Mkuchika, Kinana, Bagenda na wengineo, rika lake la kisiasa waliokuwa wote ofisi ndogo ya makao makuu ya Tanu, wamekwishakusanya ushahidi dhidi ya Lowasa, ikiwa ni pamoja majumba yaliyokuwa ya Msajili wa Majumba aliyojimilikisha kila mkoa alipokuwa waziri wa ardhi ma maendeleo mijini (kwa sasa 'maendeleo ya makazi'). Katika hili, Richmond ni cha mtoto. Aidha kuna ushahidi (nakala ya minutes ipo kibindoni) wa Edward Lowasa kujimilikisha jengo la ofisi ya TANU katika mkoa fulani hapa nchini. Kama si taulo alilotupiwa na marehemu Sokoine tungekuwa tumemsahau Edward Lowasa zamani sana, katika siasa za Tanzania. Vilevile tunajua kuwa Edward Lowasa, kupitia kampuni yake binafsi ya Alfatel, anaingiza zaidi ya shilingi bilion 4 kwa siku kutokana na mauzo ya scratch vouchers za vodacom; mapato hayo hayalipiwi kodi. Pesa hizi ndizo zinazotumika kununua njia yake kupitia CCM kuelekea Ikulu. Tusubiri muda tu, tutamalizania naye. Hakikisha huachi arrears katika malipo yako vinginevyo unaweza kuwa miongoni mwa watakaokumbwa na kimbunga cha Lowasa bye-bye na kusaga meno siku zijazo (si nyingi).
 
Hivi hakuna mtu mwingine wa kugombea urais ndani ya MAGAMBA?Nadhani Shibuda arudi akagombee.
 
nakupa 'like' kwa nyuma ya pazia.

Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za ndani ya nchi yetu. Katika kipindi hiki hadi tarehe 12-11-2012 siku ambayo itakuwa ni mwisho wa uchaguzi wa ndani wa CCM(kama ratiba inavyoonesha), mengi yamesemwa juu ya hatma ya CCM na baadhi ya wagombea.

Kama kuna mgombea aliyesemwa sana katika mchakato huu, si mwingine bali ni mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa. Wapo waliokuwa wanasema, mabadiliko ya katiba ya CCM yalikuwa na lengo la kumwondoa/ kumzibia njia Lowassa. Waswahili wana msemo wao wa busara kabisa kuwa "wa mbili ni wa mbili, havai moja" na wengine husema "lililopangwa na Mungu, binadamu hawezi kulipangua" na pia "asiyekuwemo haingii, na aliyemo hatoki". Kusemwa kwa Lowasa ni muendelezo wa siasa za CCM kuelekea 2015. Binafsi hajaweka wazi kama atagombea urais 2015, na kila anapoulizwa husema "tutavuka daraja pindi tutakapoufikia mto"

Vikao vya uamuzi vya CCM vimemalizika. Jina la Lowassa limepitishwa kugombea nafasi ya U-NEC kupitia wilaya yake ya Monduli. Pamoja nae wapo Dr Salash Toure na kijana Nanai Konani. Mi si mtabiri wa kujua nani atafanikiwa kuwa M-NEC kutoka Monduli, ila ninachoweza kusema ni kuwa CCM wamekata ngebe za watu waliokuwa wanavumisha taarifa za uongo kuwa mwisho wa Lowasa katika siasa za CCM umefikia, kwa kuwa hataruhusiwa kugombea ujumbe wa NEC. Wapo wanaosema kuwa CCM imekata majina ya wagombea U-NEC wengi waliokuwa wanamtandao wa Lowasa. Inawezekana habari hii ikawa kweli, maana wanaojua ni CCM wenyewe. Ila tukumbuke kuwa: KAMA IPO, IPO TU

Nimalizie kusema kuwa "chochote tulicho nacho, hatujapata kwa ujanja wetu, bali ni makusudi ya Mungu". Kama Mungu amepanga Lowasa kuwa M-NEC atakuwa tu. Na kama amepanga Lowasa kuwa Rais, atakuwa tu. Hakuna wa kuzuia mipango ya Mungu.
 
Mkuu Mwakyomwango, ni kweli EL ana mali nyingi kwa kiwango cha Mwalimu by then. Je, utapenda nikuorodheshee mali walizonazo hao viongoozi wa baada ya Mwalimu ili tuzilinganishe?.

Una taarifa by the time Mr. Clean anaondoka, Mwalimu angekuwepo, angeozea Segerea? Unazijua mali za Rukhsa? Au nikutajie mpaka mali za Dhaifu?.

Kwa kigezo cha mali CCM hakuna msafi. Uchafu valid ni wa Richmond ila hilo ni zigo la mtu tuu, yeye ni mbebaji tu, muda muafaka ukifika, atalitua zigo hilo na mtamtambua mwenye zigo lake.

P.

Tutajie tafadhali
 
Hivi Lowasa kasafishwa lini na kashfa ya richmond na dowans? Mbona watanzania mnakuwa na akili za Panzi? ila namshukuru Mungu wa kudanganywa mmebaki wachache! Huu unafiki wa wnaCCM hauvumiliki tena.
Akili ya panzi unayo wewe na wenzako wa namna yako mnaofikiri kuwa Bwana Edward Lowasa amechafuka. Angekuwa kachafuka angepelekwa mahakamani kujibu mashitaka.
Katika nchi hii mahakama ziko ziko hadi za kijeshi na pia iko ile mahakama ambayo kazi yake ni Kukolimba, Kulimboka na kumwangoshi kwa nini zisifanye kazi yake.
Kilichofanyika ni kuwa Lowasa alichafuliwa kwa kusudi maalum na watu maalum na kwa wakati maalum. Umeshasahu ule msemo wao wa " ni upepo tu utapita".

Kwa ufupi ni kuwa mada siyo ubsya wake bali ni uzuri wake katika siasa za nchi hii. Ukiwa na kichwa cha panzi hutayajua hayo.
 
Mkuu BMW,
umejitahidi sana kuchambua kama neutralist, lakini umeshindwa kuzingatia kwamba nchi hii imekomea hapa mahala tulipo kwenye dimbwi la umasikini kwa sababu kubwa (kuna sababu zingine) ya Ufisadi Wa viongozi kitu ambacho kimefanya rasilimali zetu zisiweze kutusaidia kupata Maendeleo. Na kwa hakika huyu bwana EL unayemshabikia ndiye kinara wa Ufisadi! unahitaji afanye Ufisadi gani ili ndio umwelewe? Au siku akikuuza wewe ndio utajua? EL ni gamba ambalo hata CCM imeshindwa kulivua ndio maana unaona CCM hawana ujanja gamba limewakaba shingoni. nchi nyingine watu Kama hawa wangekuwa jela!

wavivu wa kufikiri peke yao ndo wanaolishwa habari za vijigazeti na kumhukumu EL...........lakini ukeli ni kwamba ndiye kiongozi bora kabisa kwa sasa anayehitajika kuliongoza taifa hili. Wapuuzi wote wanakaririshwa na vijigazeti vya udaku wamekariri Richmond pekee hawana jipya na wameshindwa kuchafua rekodi zake zilizotukuka za utendaji. Majitu haya haya hapa yalishangilia alipoingia Pinda lakini mpaka leo huyo Pinda tofauti na kulia majukwaani kafanya nini kipya??? ............Hate ya wanaJF dhidi ya EL inatokana na mambo makuu mawili tu.....1. Ignorance....kwa maana ya wengi wanasoma tu taarifa lakini the lack the brain to chew what they are given na wanaishia kuhemka tu na vijitaarifa visivyo na uthibitisho lakini 2. Kuna wale wanaoelewa STRENGTHs za EL Vs CHADEMA na wanamchukia EL kwa lengo tu la kuisafishia njia CDM pamoja na kutambua EL is the right man for this nation. CDM kinabaki kuwa chama bora cha upinzani na chama pekee kinachoweza kuongoza Dola kama mbadala wa magamba but kwetu sisi neutralists......I put EL first, Dr Slaa second, and people like Mbowe, Zitto, Sitta (Most hypocritical burger), Magufuri etc would follow
 
Angekuwa kachafuka angepelekwa mahakamani kujibu mashitaka.
Katika nchi hii mahakama ziko ziko hadi za kijeshi na pia iko ile mahakama ambayo kazi yake ni Kukolimba, Kulimboka na kumwangoshi kwa nini zisifanye kazi yake.
Ripoti ya PCCB kuhusu Richmond ipo ofisini kwa Dr.Edward Hoseah. Kamati ya Mwakyembe ilipendekeza Hoseah afukuzwe kazi kwa kuficha ripoti PCCB

Usichojua mkuu ni kwamba JK alishamwelekeza Hoseah kwamba kesi zote zinazohusu waziri mkuu na rais waliopo na waliotangulia "ARE OFF THE TABLE". Hataki JK kuja kushitakiwa kama yeye alivyowashitaki wenzake. Ndo maana Mkapa na Sumaye walipeta kwenye Radar
 
TB Joshua yule mchawi aneyewachezea wajinga kwa mazingaumbwe ya mafuta ya mizaituni basi mnafurika kwenda kuangalia maigizo.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Yesu aliambiwa na Mafarisayo anatoa pepo kwa kutumia Belzebul (shetani mkuu) ndio itakuwa TB Joshua!
 
Chama cha mapinduzi kimemaliza kazi ya kupitisha majina kwaajili ya uchaguzi wake dodoma. Kulikuwapo habari nyingi zinazochanganya kuhusu huu uchaguzi. Habari hizo zililitwa na baadhi ya wanahdishi wa habari cna chama cha chadema. Upotoshaji wa makusudi na ushabiki usio na ushahidi ni kati ya mambo yaliyotawala. Lakini mungu amepisha ccm imemaliza uchaguzi sasa hao wanaojifanya ni wasafi wafanye cuahguzi wao. Na wale wahandishi wa
 
Kwa maeno yako hayo basi hakuna anayestahili ndani ya magamba kupewa ridhaa na Watanzania ili ashike dola maana wote ni wachafu na utajiri wao umepatikana kwa njia za haramu kupitia mikataba feki au kuiba kwa njia moja au nyingine pesa za walipa kodi. Fisadi Lowassa HATUFAI!!
Mkuu BAK, kwani tunamtafuta rais mtakatifu atuendeshee ibada ili Watanzania wote twende peponi?, au tunatafuta rais mwenye uwezo wa kuongoza vita dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi?!. Kwani ufisadi is a big problem?!.

Kama ni utakatifu angekuwa Nyerere!, mpaka sasa ndio kwanza tuko kwenye mchakato wa kuntangaza "Mwenye Heri", mpaka aje kuwa Mtakatifu ni leo?!.

CCM are all devils, but between the two devils, choose the lesser!. Hivi kati ya mwizi anaye deliver development kwa vitendo na mtakatifu anaye hubiri development kwa maneno matupu, utamchagua nani?. Hivi ni nani afadhali kati ya EL ameiba ila ametumia proceeds za huo wizi kufanya mambo!, ama dhaifu aliyeisanehe mijizi ya EPA kwa kiini macho cha kurejesha walichokwiba and nothing was done?!.
 
mbona mmekomaa sna richmond.mh lowassa alishatoa ufafanu kuhusu sakata la richmond na hausiki aliwajibika kama mtumishi wa umma,LOWASSA SHALL BE TZ PRESIDENT 2015
 
Nakuunga mkono mkuu. uko sahihi. Na hata zile kengele mbaya zilizokuwa zinalia juu yake zimetulia kimyaaa.

Ish!! Mbona M4C walishamaliza kazi. Kwani leo unawasikia tena. Watakuja baadae ya uchaguzi wa Mikoani na wilayani.
 
Kina Slaa mavi debe wakisikia jina la Lowassa, huyu akishika nchi basi CDM itakufa kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom