Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

tb joshua unamuingizaje huku, wewe ni nani unayemuhukumu mtumishi wa mungu, unajua nini wewe kuhusu mungu wa kweli na nguvu za mungu, mungu unayemjua na kumuamini wewe ni mungu yupi? Unajua nini wewe kuhusu tb joshua ministry (scoan)?.
nguvu za giza.waas wake wameshatangaza,
 
Mkuu Mwakyomwango, ni kweli EL ana mali nyingi kwa kiwango cha Mwalimu by then!. Jee utapenda nikuorodheshee mali walizonazo hao viongoozi wa baada ya Mwalimu ili tuzilinganishe?!. Una taarifa by the time Mr. Clean anaondoka, Mwalimu angekuwepo, angeozea Segerea?!. Unazijua amali za Rukhsa?. Au nikutajie mpaka mali za Dhaifu?!.

Kwa kigezo cha mali CCM hakuna msafi!. Uchafu valid ni wa Richmond ila hilo ni zigo la mtu tuu, yeye ni mbebaji tuu!, muda muafaka ukifika, atalitua zigo hilo na mtamtambua mwenye zigo lake!.
P.

mwenye zigo ni nani? na wanaushirika gani kati ya EL na mwenye zigo? zigo hilo linawahusu watanzania au ni la EL na mwenye zigo?"majibu ya Richmond hayajapatikana mpaka leo, uongo wa nani mmiliki wa dowans haujafutika masikioni mwawatanzania. whoever makes blind on these qns has a problem and has no good intentions to our nation.
 
mungu yupi unayemwongrle wewe??labda mungu wa fremanson,kule kwa tb joshua.

Una uhakika kuwa Mungu wa TB JOSHUA ni FREMASON? ukiambiwa thibitsha utaweza?.Yanini conclude kitu wakati hujafanya reseach na huna fact zozote? jifunze kusema na kuandika vitu ulivyo na uhakika navyo angalia usijekuwa unachuma dhambi zisizokuwa za lazima.
 
Sababu za lowa hasa kukataliwa na Nyerere mwaka 1995 hazijapitwa na wakati. Moja kati ya sababu hizo ni pamoja na kujilimbikizia mali za walala hoi ambazo alishindwa kueleza jinsi alivyozipata. ukumbuke vilivile mzimu wa rich monduli bado unamwandama huyo lowa hasa wako. Kama wewe ni mshauri wake, mwambie asipoteze muda wake kugombea urais kwani yeye ni mchafu na hasafishiki kwa sabuni iwayo yoyote ile.

Kwanza naomba mniwie radhi. Nimeomba radhi kwa kuwa watu wengi hasa wasiopenda kufikiri, wamekuwa wakichukua kauli za nyerere na mtazamo wake kama ni Msahafu ambao ni sahihi 100%. Wamekuwa wakiamini kuwa kauli za Nyerere ni kama kauli za manabii ambao walikuwa na ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mungu. Nyerere ni mtu kama nilivyo mimi, wewe na mwingine awaye yote. Tusibanwe katika kufikiri, kwa kuwa tu kufikiri kwetu ama kutenda kwetu, kutakuwa ni kinyume na fikra na matendo ya Nyerere. Lowasa kuwa na mali/utajiri tatizo liko wapi? Kikubwa ni jinsi gani alizipata mali hizo. Mpaka sasa hakuna anayeweza kwa dhati kusimama na kusema Lowasa alipata hizo mali kwa njia haramu na akatoa ushahidi. Huyo huyo Nyerere (Mungu amuweke mahali alipompangia) unayem-refer, katika kitabu chake maarufu UJAMAA NI IMANI, aliandika kuwa UJAMAA NI IMANI. HATA TAJIRI ANAWEZA KUWA MJAMAA. Tatizo letu sisi waswahili, tunadhani kwamba UJAMAA=UMASIKINI. Kumbe Masikini pia anaweza kuwa Bepari.

Nyerere si msahafu. Mbona alituletea kijana wake akimuita Mr Clean. Yako wapi? Ufisadi wote unaotikisa taifa hili umetendeka katika kipindi cha Mr Clean. Kama Nyerere alikuwa bora sana, mbona mpaka anastaafu, aliiacha nchi ikiwa taabani kuliko marais wote waliomfuatia. Waliokuwepo miaka ya 80 hadi 85 watakumbuka. Sukari, chumvi, sabuni, mafuta ya taa, nguo hata kandambili taabu kupatikana. TUSIBANWE NA MAWAZO YA WATU. NASI TUFIKIRI KWA VICHWA VYETU
 
Ndani ya CCM kumuita EL fisadi na gamba ni ubaguzi.Wote ni mafisadi na magamba.Hakuna mwenye moral authority ya kufanya hivyo.
 
Gets signs from this Man!
1ffd6029f7e0161a1c0f6a706700bbc5.jpg
 
Una uhakika kuwa Mungu wa TB JOSHUA ni FREMASON? ukiambiwa thibitsha utaweza?.Yanini conclude kitu wakati hujafanya reseach na huna fact zozote? jifunze kusema na kuandika vitu ulivyo na uhakika navyo angalia usijekuwa unachuma dhambi zisizokuwa za lazima.
Tb joshua mchawi mkubwa anawaigizia vimaigizo vya kitoto mnakimbilia kukaa siti ya mbele including huyu jamaa mwenye uchu wa madaraka.
Nawaombea asiwachomee uko kanisani kama yule wa hapa kwa jirani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wavivu wa kufikiri peke yao ndo wanaolishwa habari za vijigazeti na kumhukumu EL...........lakini ukeli ni kwamba ndiye kiongozi bora kabisa kwa sasa anayehitajika kuliongoza taifa hili. Wapuuzi wote wanakaririshwa na vijigazeti vya udaku wamekariri Richmond pekee hawana jipya na wameshindwa kuchafua rekodi zake zilizotukuka za utendaji. Majitu haya haya hapa yalishangilia alipoingia Pinda lakini mpaka leo huyo Pinda tofauti na kulia majukwaani kafanya nini kipya??? ............Hate ya wanaJF dhidi ya EL inatokana na mambo makuu mawili tu.....1. Ignorance....kwa maana ya wengi wanasoma tu taarifa lakini the lack the brain to chew what they are given na wanaishia kuhemka tu na vijitaarifa visivyo na uthibitisho lakini 2. Kuna wale wanaoelewa STRENGTHs za EL Vs CHADEMA na wanamchukia EL kwa lengo tu la kuisafishia njia CDM pamoja na kutambua EL is the right man for this nation. CDM kinabaki kuwa chama bora cha upinzani na chama pekee kinachoweza kuongoza Dola kama mbadala wa magamba but kwetu sisi neutralists......I put EL first, Dr Slaa second, and people like Mbowe, Zitto, Sitta (Most hypocritical burger), Magufuri etc would follow
 
una uhakika kuwa mungu wa tb joshua ni fremason? Ukiambiwa thibitsha utaweza?.yanini conclude kitu wakati hujafanya reseach na huna fact zozote? Jifunze kusema na kuandika vitu ulivyo na uhakika navyo angalia usijekuwa unachuma dhambi zisizokuwa za lazima.
hahahahahahahah!nenda nawewe kachukue muujiza uwe raisi.unaijua dhanbi eee????
 
Kwanza naomba mniwie radhi. Nimeomba radhi kwa kuwa watu wengi hasa wasiopenda kufikiri, wamekuwa wakichukua kauli za nyerere na mtazamo wake kama ni Msahafu ambao ni sahihi 100%. Wamekuwa wakiamini kuwa kauli za Nyerere ni kama kauli za manabii ambao walikuwa na ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mungu. Nyerere ni mtu kama nilivyo mimi, wewe na mwingine awaye yote. Tusibanwe katika kufikiri, kwa kuwa tu kufikiri kwetu ama kutendwa kwetu, kutakuwa ni kinyume na fikra na matendo ya Nyerere. Lowasa kuwa na mali/utajiri tatizo liko wapi? Kikubwa ni jinsi gani alizipata mali hizo. Mpaka sasa hakuna anayeweza kwa dhati kusimama na kusema Lowasa alipata hizo mali kwa njia haramu na akatoa ushahidi. Huyo huyo Nyerere (Mungu amuweke mahali alipompangia) unayem-refer, katika kitabu chake maarufu UJAMAA NI IMANI, aliandika kuwa UJAMAA NI IMANI. HATA TAJIRI ANAWEZA KUWA MJAMAA. Tatizo letu sisi waswahili, tunadhani kwamba UJAMAA=UMASIKINI. Kumbe Masikini pia anaweza kuwa Bepari.

Nyerere si msahafu. Mbona alituletea kijana wake akimuita Mr Clean. Yako wapi? Ufisadi wote unaotikisa taifa hili umetendeka katika kipindi cha Mr Clean. Kama Nyerere alikuwa bora sana, mbona mpaka anastaafu, aliiacha nchi ikiwa taabani kuliko marais wote waliomfuatia. Waliokuwepo miaka ya 80 hadi 85 watakumbuka. Sukari, chumvi, sabuni, mafuta ya taa, nguo hata kandambili taabu kupatikana. TUSIBANWE NA MAWAZO YA WATU. NASI TUFIKIRI KWA VICHWA VYETU
Lowasa atuambie mali nyingi alizonazo alizipataje. Alivyozipata anajua yeye kuliko mtu mwingine yeyote. Kumbuka pia huyu ni mtu ambaye amekuwa kwenye AJIRA ya UMMA muda wote wa MAISHA yake hadi dakika hii tunayolumbana humu.

Mwalimu amekuwa Rais wa NCHI hii kwa zaidi ya miaka 20. Angalia mali alizostaafu nazo huku akiwa anamzidi madaraka na mshahara kwa mbali Lowasa wako!

Msimsemee Lowasa. Ajitokeze mwenyewe mbele ya WATANZANIA anaotaka kwa udi na uvumba kuwatawala awambie "uchafu" huu wanaomsingizia unatokana na nini.

Huyu baba ni wa kunywa nae chai tu sio kumpa URAIS.
 
Mkuu Mwakyomwango, ni kweli EL ana mali nyingi kwa kiwango cha Mwalimu by then. Je, utapenda nikuorodheshee mali walizonazo hao viongoozi wa baada ya Mwalimu ili tuzilinganishe?.

Una taarifa by the time Mr. Clean anaondoka, Mwalimu angekuwepo, angeozea Segerea? Unazijua mali za Rukhsa? Au nikutajie mpaka mali za Dhaifu?.

Kwa kigezo cha mali CCM hakuna msafi. Uchafu valid ni wa Richmond ila hilo ni zigo la mtu tuu, yeye ni mbebaji tu, muda muafaka ukifika, atalitua zigo hilo na mtamtambua mwenye zigo lake.

P.

Umeaidiwa kile cheo cha rwemamu ama kile cheo cha issa michuzi??
Hakikisha anakulipa pesa yako kabla matokeo ya uchaguzi hayajatangazwa kwasababu yakishatangazwa tu huyu mtu wako atakimbizwa nje ya nchi kupata matibabu ya pressure ya macho yatakayo mkumba gafla.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa kigezo cha mali CCM hakuna msafi. Uchafu valid ni wa Richmond ila hilo ni zigo la mtu tuu, yeye ni mbebaji tu, muda muafaka ukifika, atalitua zigo hilo na mtamtambua mwenye zigo lake.
P.
Mkuu, mimi nasikia Frederick ambaye ni mtoto wa Lowassa ana hisa humo Richmond. Sasa kusema ni mzigo katwishwa, sielewi maana yake
 
wavivu wa kufikiri peke yao ndo wanaolishwa habari za vijigazeti na kumhukumu EL...........lakini ukeli ni kwamba ndiye kiongozi bora kabisa kwa sasa anayehitajika kuliongoza taifa hili. Wapuuzi wote wanakaririshwa na vijigazeti vya udaku wamekariri Richmond pekee hawana jipya na wameshindwa kuchafua rekodi zake zilizotukuka za utendaji. Majitu haya haya hapa yalishangilia alipoingia Pinda lakini mpaka leo huyo Pinda tofauti na kulia majukwaani kafanya nini kipya??? ............Hate ya wanaJF dhidi ya EL inatokana na mambo makuu mawili tu.....1. Ignorance....kwa maana ya wengi wanasoma tu taarifa lakini the lack the brain to chew what they are given na wanaishia kuhemka tu na vijitaarifa visivyo na uthibitisho lakini 2. Kuna wale wanaoelewa STRENGTHs za EL Vs CHADEMA na wanamchukia EL kwa lengo tu la kuisafishia njia CDM pamoja na kutambua EL is the right man for this nation. CDM kinabaki kuwa chama bora cha upinzani na chama pekee kinachoweza kuongoza Dola kama mbadala wa magamba but kwetu sisi neutralists......I put EL first, Dr Slaa second, and people like Mbowe, Zitto, Sitta (Most hypocritical burger), Magufuri etc would follow
Wewe nimekulaiki tena Umesema kweli. Ahsante.
 
Haihitaji kusoma gazeti kujua kuwa lowasa ni mwizi wa kutupwa.
Cha maana hapa ccm imsimamishe uyo lowasa ili mpate akili kuwa watanzania sio wapumbavu kama mlivyokariri.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yako wapi yale maneno tuliokuwa tunalishwa na ccm eti mtu ajipime mwenyewe zisifike siku 90 ajiondoe leo ndio kinyume wanaopinga ufisadi wameambiwa njia nyeupeeeeee waende ila wale tulioambiwa ni wachafu ndio wamekumbatiwa
 
Back
Top Bottom