Hongera kwenu CCM kuwa kidijitali

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,404
15,873
Hakika inapendeza
Screenshot_2021-07-26-06-49-42-822_com.chamachamapinduzi.ccmapp.jpg
 
Imekaa poa sana hiyo. Japokuwa wanachama wengi wa CCM ni wakulima na wafugaji wapo vijijini ndani ndani. Pia mngeweka huduma zote hizo zipatikane kwenye NOKIA KITOCHI ingependeza.

Waliopo mjini wengi wao ni CCM maslahi na ndio wanafanya CCM kuchukiwa kutokana na vitendo vyao vya kuidhalilisha serikali na kuweka maslahi binafsi mbele.

Hasa wabunge ambao hawatokani na wananchi. Shame on them! CCM bila rushwa inawezekana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom