Hongera kwa simba na yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera kwa simba na yanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jul 27, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa mara ya kwanza pambano la ngao ya hisani kati ya simba vs yanga litatumia 10% ya mapato kuchangia matibabu ya saratani ya matiti.mchango huu utawasilishwa kwa chama cha madktari wanawake(MEWATA).


  My take:wakati umefika kwa watanzani kuwa 'wahisani' wa matatizo yanayotukabili na sio kusubiri uhisani wa watu wa Marekani,china,pakistani n.k.
  Big up watani wa jadi na waandaaji kwa ujumla.
   
Loading...