Jc Simba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 300
- 422
Nimpongeze kwa dhati Mh.Paul Makonda kwa kuendelea kuwa mbunifu Na mchapakazi kinara kabisa kwenye Serikali hii ya awamu ya tano .
Kwa kweli amejitahidi kuna Na mambo mengi mazito ya kiubunifu ya kuisaidia jamii yetu ya Tanzania .
Kuanzia kwenye suala zima la kupambana Na madawa ya kulevya kupunguza mateja Jijini Dar Es salaam Na mengine mengi .
Hili la sasa la kupokea Na kushughulikia matatizo ya wanawake waliotelekezwa Na waume zao Na kuachiwa watoto walee mwenyewe ndio haswa limenifanya niingie hapa jukwaani kumpa sifa tele huyu kiongozi wangu Wa hili Jiji Kubwa nchini Tanzania.
Hii itasaidia mno kuweka malezi bora kwa watoto Na kupunguza watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu pasipo sababu za msingi ili hali babazao wakila bats mjini bila aibu.
Pamoja Na hili nilikua nashauri kuwa kama ingekua vizuri Na kuwe Na sehemu maalumu ya kupima DNA ili kutatua suala la wanaweke wanaobambikizia wanaume watoto hili nalo lingeenda sambamba ingependeza kwa kweli.
Kuna suala moja la Uganda ambapo mama kajifungua watoto wawili mapacha ila mmoja Wa Mume Wa ndoa Na mwingine Wa mchepuko ila hilo limeibuliwa Na vipimo vya DNA.