Hongera kwa Mkuu Wa Mkoa Paul Makonda kwa kuwa mbunifu

Jc Simba

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
300
422
Nimpongeze kwa dhati Mh.Paul Makonda kwa kuendelea kuwa mbunifu Na mchapakazi kinara kabisa kwenye Serikali hii ya awamu ya tano .

Kwa kweli amejitahidi kuna Na mambo mengi mazito ya kiubunifu ya kuisaidia jamii yetu ya Tanzania .

Kuanzia kwenye suala zima la kupambana Na madawa ya kulevya kupunguza mateja Jijini Dar Es salaam Na mengine mengi .

Hili la sasa la kupokea Na kushughulikia matatizo ya wanawake waliotelekezwa Na waume zao Na kuachiwa watoto walee mwenyewe ndio haswa limenifanya niingie hapa jukwaani kumpa sifa tele huyu kiongozi wangu Wa hili Jiji Kubwa nchini Tanzania.

Hii itasaidia mno kuweka malezi bora kwa watoto Na kupunguza watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu pasipo sababu za msingi ili hali babazao wakila bats mjini bila aibu.

Pamoja Na hili nilikua nashauri kuwa kama ingekua vizuri Na kuwe Na sehemu maalumu ya kupima DNA ili kutatua suala la wanaweke wanaobambikizia wanaume watoto hili nalo lingeenda sambamba ingependeza kwa kweli.

Kuna suala moja la Uganda ambapo mama kajifungua watoto wawili mapacha ila mmoja Wa Mume Wa ndoa Na mwingine Wa mchepuko ila hilo limeibuliwa Na vipimo vya DNA.
 
Sioni ulisemalo
Ndoa ni hiari, unapoona watu wametengane ujue kuna sababu za msingi ambazo zimewafanya watengane. Unapowalazimisha ni sawa na kulazimisha mbwa na paka wakae pamoja.
Hakuna aachaye mpenzi bila sababu.
Labda useme kuhudumia watoto uliowazaa lkn hili lipo chini ya ustawi wa jamii na sio RC
 
Huyo ubunifu wake ni wa nguvu ya Soda....mipango yote chalii
 
Kila mtu apambane na mahaba na mahusiano yake akiwapenda zaidi basi akaishi nao
 
Nimpongeze kwa dhati Mh.Paul Makonda kwa kuendelea kuwa mbunifu Na mchapakazi kinara kabisa kwenye Serikali hii ya awamu ya tano .

Kwa kweli amejitahidi kuna Na mambo mengi mazito ya kiubunifu ya kuisaidia jamii yetu ya Tanzania .

Kuanzia kwenye suala zima la kupambana Na madawa ya kulevya kupunguza mateja Jijini Dar Es salaam Na mengine mengi .

Hili la sasa la kupokea Na kushughulikia matatizo ya wanawake waliotelekezwa Na waume zao Na kuachiwa watoto walee mwenyewe ndio haswa limenifanya niingie hapa jukwaani kumpa sifa tele huyu kiongozi wangu Wa hili Jiji Kubwa nchini Tanzania.

Hii itasaidia mno kuweka malezi bora kwa watoto Na kupunguza watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu pasipo sababu za msingi ili hali babazao wakila bats mjini bila aibu.

Pamoja Na hili nilikua nashauri kuwa kama ingekua vizuri Na kuwe Na sehemu maalumu ya kupima DNA ili kutatua suala la wanaweke wanaobambikizia wanaume watoto hili nalo lingeenda sambamba ingependeza kwa kweli.

Kuna suala moja la Uganda ambapo mama kajifungua watoto wawili mapacha ila mmoja Wa Mume Wa ndoa Na mwingine Wa mchepuko ila hilo limeibuliwa Na vipimo vya DNA.
Hata hilo la kutelekeza watoto....
Huyo mtoto anayesemekana kutelekezwa inabidi kabla ya tuhuma apimwe DNA ili kuthibitisha.
 
Sioni ulisemalo
Ndoa ni hiari, unapoona watu wametengane ujue kuna sababu za msingi ambazo zimewafanya watengane. Unapowalazimisha ni sawa na kulazimisha mbwa na paka wakae pamoja.
Hakuna aachaye mpenzi bila sababu.
Labda useme kuhudumia watoto uliowazaa lkn hili lipo chini ya ustawi wa jamii na sio RC
Nadhani kinachopiganiwa na mh, makonda sio watu waludiane waishi pamoja bali ni malezi bora kwa watoto ambao wazazi wametengana alafu akuna huduma au malezi kwa hao watoto au mtoto, sasa basi kwangu ili ni jambo bora na zuri linaepusha malezi mabovu ktk baadhi ya ukuaji wa mtoto, mimi ni shuhuda na muanga wa malezi ya pande mbili right ungeonja ata kdg malezi yetu tuliyokulia ktk ukuaji wetu ungekubaliana na makonda, kwangu nampongeza na mungu amtie nguvu.....
 
Kwani sheria ya malezi na matunzo kwa mtoto inasemaje?? Nadhani kwa sasa haijafinywa mabadiliko makubwa ya kuweza kumbana baba aliyemtelekeza mtoto,maana kiwango cha kipindi iko kilikuwa ni sh 300,Sasa nyinyi mnapongeza bila kubadilisha sheria hiyo
 
Hiki hiki Kiwango cha chini ndio hicho kitasaidia malezi ya mtoto has a ukiwa mbali na wewe Na hicho ndio Makonda anachopambania maana hawezi toka nje ya sheria Na utaratibu Wa ustawi Wa jamii anachosisitizia ni kutuzwa kwa watoto.
Mimi nimeongeza ushauri kuwa upimaji Wa DNA upewe nafasi maana wanawake wengine hawajui baba za watoto wao hivyo kuwabambika kina Mie kisa nilishiriki mechi.
 
Sioni ulisemalo
Ndoa ni hiari, unapoona watu wametengane ujue kuna sababu za msingi ambazo zimewafanya watengane. Unapowalazimisha ni sawa na kulazimisha mbwa na paka wakae pamoja.
Hakuna aachaye mpenzi bila sababu.
Labda useme kuhudumia watoto uliowazaa lkn hili lipo chini ya ustawi wa jamii na sio RC
Hapo Mh. Hazungumzii ndoa anazungumzia matunzo ya watoto ambapo wengi ni kama wametelekezwa ndio maana sio ndoa maana huwezi kulazimisha watu kuoana .
 
Sh 300???? Kweli kitasaidia? Sikusema ametoka nje ya sheria nilichosema yanatakiwa mabadilikoya sheria hiyo ili kiwango kiridhishe je serikali inaweza kugharamia DNA??maana kwa sasa ni bei juu
 
Nimpongeze kwa dhati Mh.Paul Makonda kwa kuendelea kuwa mbunifu Na mchapakazi kinara kabisa kwenye Serikali hii ya awamu ya tano .

Kwa kweli amejitahidi kuna Na mambo mengi mazito ya kiubunifu ya kuisaidia jamii yetu ya Tanzania .

Kuanzia kwenye suala zima la kupambana Na madawa ya kulevya kupunguza mateja Jijini Dar Es salaam Na mengine mengi .

Hili la sasa la kupokea Na kushughulikia matatizo ya wanawake waliotelekezwa Na waume zao Na kuachiwa watoto walee mwenyewe ndio haswa limenifanya niingie hapa jukwaani kumpa sifa tele huyu kiongozi wangu Wa hili Jiji Kubwa nchini Tanzania.

Hii itasaidia mno kuweka malezi bora kwa watoto Na kupunguza watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu pasipo sababu za msingi ili hali babazao wakila bats mjini bila aibu.

Pamoja Na hili nilikua nashauri kuwa kama ingekua vizuri Na kuwe Na sehemu maalumu ya kupima DNA ili kutatua suala la wanaweke wanaobambikizia wanaume watoto hili nalo lingeenda sambamba ingependeza kwa kweli.

Kuna suala moja la Uganda ambapo mama kajifungua watoto wawili mapacha ila mmoja Wa Mume Wa ndoa Na mwingine Wa mchepuko ila hilo limeibuliwa Na vipimo vya DNA.
Tangu Makonda awe mkuu wa mkoa amefanya lipi hasa tangible? Dawa za kulevya zimeisha? Au ndio ndio zimesababisha tujue kwamba hana vyeti?
Sijui walimu wasafiri bure, wamesafiri? Sijui kuondo machangudoa na ombaomba, wameondoka?
Hili nalo litapita hivi hivi. Tatizo anafanya mambo kwa kukomoa wengine
 
1)kuhamisha yard zote kigamboni imeishia wapi

2)bar zote ziwe Sehemu moja Vp tena

3)kupiga barabara zote za dar lami inakuwaje

4)kutatua migogoro ya ardhi imeishia wapi Vp

5)sasa tunasubiria episode hyo ya wanawake ?????

Ova
 
Nimpongeze kwa dhati Mh.Paul Makonda kwa kuendelea kuwa mbunifu Na mchapakazi kinara kabisa kwenye Serikali hii ya awamu ya tano .

Kwa kweli amejitahidi kuna Na mambo mengi mazito ya kiubunifu ya kuisaidia jamii yetu ya Tanzania .

Kuanzia kwenye suala zima la kupambana Na madawa ya kulevya kupunguza mateja Jijini Dar Es salaam Na mengine mengi .

Hili la sasa la kupokea Na kushughulikia matatizo ya wanawake waliotelekezwa Na waume zao Na kuachiwa watoto walee mwenyewe ndio haswa limenifanya niingie hapa jukwaani kumpa sifa tele huyu kiongozi wangu Wa hili Jiji Kubwa nchini Tanzania.

Hii itasaidia mno kuweka malezi bora kwa watoto Na kupunguza watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu pasipo sababu za msingi ili hali babazao wakila bats mjini bila aibu.

Pamoja Na hili nilikua nashauri kuwa kama ingekua vizuri Na kuwe Na sehemu maalumu ya kupima DNA ili kutatua suala la wanaweke wanaobambikizia wanaume watoto hili nalo lingeenda sambamba ingependeza kwa kweli.

Kuna suala moja la Uganda ambapo mama kajifungua watoto wawili mapacha ila mmoja Wa Mume Wa ndoa Na mwingine Wa mchepuko ila hilo limeibuliwa Na vipimo vya DNA.
makonda anatengeneza jina lake ndugu mtanzania.alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa alihutubia kwa masaa zaidi ya manne na kuweka mikakati kibao tuambe ile mikakati imefia wapi? na imefanikiwa kwa kiwango gani ? pia masuala ya malezi ya watoto yanasimamiwa na sheria mbilo .ile ya ndoa ya 1971 na Child Act ya 2009. sheria zote hizo zinataja matunzo ya mtoto pindi wazazi wanapotengana yani maintenance. kwenye sheria ile ya 1971 mzazi/ baba anatakiwa atoe tsh 100/= kwa siku. hii manake ni 3000/ kwa mwezi kwakuwa sheria haijabadilishwa .mtoa uzi twende pamoja. wanachofanya mafisa ustawi ni kuificha hii sheria ili kuangalia utu zaidi. ningekuwa wa kwanza kumsifia huyo BASHITE kama angemwambia babake waibadilishe kwanza sheria na kuipa meno idara ya ustawi wa jamii ambayo kimsingi haina hata bajeti. nikuulize katika baraza zima la magufuli ustawi wa jamii umetajwa wapi? acheni kusifiana mambo msiyoyajua. makonda hawezi tatua matatizo ya ustawi wa jamii kwa kufanya anavyoenda kufanya kesho
 
Ulichoongea ni kweli ila hapo mm nimempongeza tu kwa kujaribu kulimulika hili suala unajua kulizungumzia tu Na kulifanyia Kazi inaleta muamko Na kufanya wadau wengine kulifanyia Kazi .
Hii ishu sio rahisi INA changamoto zake Na kikubwa nilicholenga ni kuhusu DNA ambayo kwetu sisi ni ngumu kisheria kwa kuwa wanahofia kubomoka Na kufarakana kwa familia nyingi iwapo DNA itatumika Na kuruhusiwa kama nchi nyingine.
 
Kwani sheria ya malezi na matunzo kwa mtoto inasemaje?? Nadhani kwa sasa haijafinywa mabadiliko makubwa ya kuweza kumbana baba aliyemtelekeza mtoto,maana kiwango cha kipindi iko kilikuwa ni sh 300,Sasa nyinyi mnapongeza bila kubadilisha sheria hiyo
Ndugu iyo mia tatu kuna mwingine aitoi hata kwa panga, alafu kuna kitu tunasahau mtoto sio mali ya mama pekee yake ukazani kwa kua sheria inasema matunzo kwa siku mia basi wewe ukawa imekufanya utembee kifua mbele kwa kua mia tatu pesa kdg, tazama ubinadamu pia je km wew ungeudumiwa kwa mia tatu ungekua hapa unaandika haya, makonda anawaita kina mama na kina baba waliokua na tofauti ktk malezi ya mtoto sio kwamba anawashurutisha, hapana inawezekana anatoa elimu pamoja kusuisha migogoro midogo iyo ni njia njema kwa kiongozi kuita na kusikiliza
 
Back
Top Bottom