Hongera kwa Kafulila kuanzisha kituo cha Redio

Heeeeeheeeee let's get on....

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kituo anakianzisha na mke aliyempora kutoka kwa Zitto,

Vijana wanqvurugana hawa mpaka mademu wanapeana pafu,

Hongera Kafulila
Yericko Nyerere, Kumbe kafulila kapora demu wa Zitto? Dah amemuiga tabia Babu slaa alivyopora mke ya mtu....toka utumishi wa Mungu uliotukuka wa kuishi kiseja mpka kupora wake za watu.....shame on u kafulila,Shame on u slaa!

Any ways,nasikia na wewe unaongoza kutongoza na kukataliwa huko twitter,ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Kituo anakianzisha na mke aliyempora kutoka kwa Zitto,

Vijana wanqvurugana hawa mpaka mademu wanapeana pafu,

Hongera Kafulila

acha wivu wa kike kamanda, ingekuwa ni mbowe ameanzisha kituo usingepongeza regardless ya uzinzi wake uliothibitika?!
 
Ngoja kwanza huyo Scholastica Mazula ndio yule aliyekuwa mtangazaji wa Radio Tumaini?
 
Yericko Nyerere, Kumbe kafulila kapora demu wa Zitto? Dah amemuiga tabia Babu slaa alivyopora mke ya mtu....toka utumishi wa Mungu uliotukuka wa kuishi kiseja mpka kupora wake za watu.....shame on u kafulila,Shame on u slaa!

Any ways,nasikia na wewe unaongoza kutongoza na kukataliwa huko twitter,ni kweli?

Heh mkuu umeifufua tena hii ID ?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona mmesahau kuweka picha ya shemeji yetu!
1511393_676194599068739_1078549110_a.jpg

ndo huyu?
 
Kituo anakianzisha na mke aliyempora kutoka kwa Zitto,

Vijana wanqvurugana hawa mpaka mademu wanapeana pafu,

Hongera Kafulila

wewe dogo hauwezi kufikia uwezo kisiasa wa kafuliala hata robo,utaishia kufanya siasa za maji taka hapo CDM mwisowe nawewe utatuhumiwa uhaini na usaliti........lakini hamna kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom