Jason Statham2
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 692
- 1,009
Sahihisho dogo tu " una nyota Kali"Siyo Siri kwa jinsi mnavyomtaja taja huyu Jamaa mmenilazimisha nami sasa nianze Kumfuatilia ili nione alikuwa akipendelea Kuandika nini hapa kwani inaonyesha alikuwa na Mvuto wake wa Kipekee kabisa na ndiyo maana naona Watu wanaacha Kujadili lililopo mezani ( Jukwaani ) ambalo linahitaji Mjadala mpana na mrefu na wao wamekalia Kumjadili Yeye tu huyo Gentamycine. Ni lazima tu atakuwa na Nyota Kali mno hadi anazungumzwa na kufuatiliwa na Members hapa. Na sijui amepotelea wapi!