Hongera Kikwete kwa kile unachopanga kuifanyia Tanzania

I am glad mimi nilimshtukia tangu 1995 nikasema hiki kijamaa hakifai kuwa rais.Nikawaambia watu throughout the campaigns, watu wakawa kwenye euphoria na Kikwetemania.Kuna mchizi mmoja akamkata mtama huko kwa wasukuma nikaona kumbe bongo mpaka bush kuna watu wanashtukia dili (yule mchizi prophetic, sasa watanzania wataelewa umuhimu wake natafuta jina lake)

I hate to say I told you so.And as much as I hate to be a doomsday prophet, nothing is going to change under Kikwete.Maybe for the worse, but nothing for the better.

BTW,

what happened to that guy wa mwanza?
 
Bado baraza la mawaziri liko katika mchujo na baada ya kikao huwenda hata wizara zingine zingafungwa na baadae kutoweka kisha kuvunjwa kabisa. Muungwana alihitaji mawaziri au wizara 60 ,kwani alikuwa anaingia kambini na baada ya michuano ya majaribio ametoka na timu ya mazoezi ambayo itatoa wacheza ishirini na magolikipa wawili kwa ajili ya kuanza ligi kuu 2010.

Kwa hiyo una maana Presidency ni onjob training?

What is killing Africa and my bolved mther land ni incompetency, corruption, greedy and selfishness. We have too much "mipango ya maendeleo" but we achieve nothing. You have mipango ya maendeleo wakati huna watu wa kuiendeleza.

TANZANIA SHALL DEVELOP WHEN WE LEARN TO MAKE RESPONSIBLE CHOICES IN LEADERSHIP.
 
Game, najua unatheory nyingi sana unazozijua za geoeconomics, macro et al. Je, umechunguza na kujua population ya middle class kule Comoro imefikia kiasi gani kwa sasa hivi?

Na nikirudi hapa nyumbani, je unafahamu tuna mifugo wangapi wa kuweza kuuza nje ya nchi na huko Comoro? Je, tuna abattoirs na processing plants ngapi hapa bongo kwa ajili ya value added goods za mazao ya mifugo?

Kingine, je una makadilio ya kiasi gani ambacho tunaweza kupoteza kama nchi hiyo inaingia kwenye full civil war vinavyoweza kusabishwa na migongano ya serikali ya Comoro na waasi wake, kama tutashindwa kuvizuia hivi sasa - economical and humanitalian?

Je role yetu kama region leader itakuwa determined na economic stability yetu tu (kama mambo ya drainage system n.k) au pia inaweza kuwa determined na jinsi tunavyoweza kuongoza mapambano kivita na kimshikamano na washirika wetu?

SteveD.

STEVE

tatizo ni kuwa serikali imetuweka mbali sana sisi wananchi ndio maana hakuna anyesema ukweli kwenye hili la Comoro na mengineyo. Kama serikali ingekuwa wazi from start na nia yake then fair enough lakini sipendi kupewa tarifa na AFP,BBC,CNN,KLHNEWS,na wengineo wakati tunayo fully functional government. Ndio maana nikasemaje I wont blame any one who comes hapa JF with innuendos,halftruths and black propaganda. kwa sababu wengi hatujadili mambo based on informed position na ndio maana kila mmoja nakuja na lwake. You cant blame them...its the governments fault

Hivi ikulu wangekuwa na website tungeweza kujua wlau through FAQ why we we are going there and what we intent to achieve

lakini sasa nadhani unaelewa kwa nini hawa watu hawana maana hata kidogo

Hivi how can you trust a government ambayo chini yake ma SCANDALS kama:

EPA & BOT

RICHMOND

WANAFUNZI UKRAINE

BANDARI YA DAR NA MAKONTENA

ATC

BUZWAGI

IPTL

Whats so wrong about wao kuwaambia wananchi ukweli kuhusu ile operation kule Comoro? kama AU inafoot the bill kwa nini wafaransa watusaidie mambo ya logistics?

call me cynical lakini naamini serikali ya Tanzania haiko honest na wananchi wake kwenye hili kama walivyokuwa unhonest kwenye BUZWAGI na RICHMOND

Believe what you can but i dont trust a word this Government ambayo at best imeamua kuji alienate na watu ambao waliwapigia kura
 
Wakati mwingine inabidi kuongelea mazuri tunayotegemea kufanyika mbeleni baada ya kuona usasa na uliopita (present and past) una mazuri machache sana ya kusherehekea.

Weekend ya pasaka nilikalishwa chini kwa masaa zaidi ya 5 na mama yangu na kumwagiwa propaganda ya nguvu sijawahi kusikia toka kwa mama tangu nizaliwe. Mama alianza kwa kunipa "inside story" anayodai kuwa ni matukio yaliyotokea siku chache kabla mzee wa visungura na ndege ya kupaa kwa mafuta ya ufisadi na wizi wa richmonduli - Edward Lowasa - kuachia madaraka.

Story inasema kuwa Lowasa na Sitta walikuwa karibu kabisa kufunika soo baada ya Sitta (mzee wa vimada) kumshushua mama Makinda na kumwambia aache kukurupuka na kuendesha mjadala wa kamati ya richmond bungeni. Stori inaendelea kusema kuwa ile safari ya mzee wa vimada aliyokurupuka na kusema kuwa anaifanya kuja marekani kwa mwaliko maalumu ilikuwa feki tu!

Story ambayo mama anaiita fact, inadai kuwa vasco da gama AKA Jakaya wa Kikwete alichukua hatua za haraka na kumpiga bonge la stop mzee wa "kukurupuka na vimada" huku akimrudisha Dodoma kwa spidi ya Jet ili akaendeleze mjadala wa Richmond. Habari zaidi zinasema kuwa ilibidi wakina mama waingilie kati na mama makinda akampanga mama mwenzake (shujaa wangu ndani ya ccm) Ana Malecela kuwa miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo kabisa wa mjadala wa Richmonduli. Kama kawaida na bila ajizi, mama Malecela akamwaga lazi huku akitoa msemo wa karne wa - kumtosa tingatinga kama akiweka usiku kwenye issue ya richmonduli.

Yaliyofuatia ni history na picha ya mwaka ya mama lowasa akilia bungeni huku Lowasa akipigwa stop kumwaga upupu kwenye TVT baada ya mwandishi wake maalumu - Ndugu Balile - kukosa gazeti huru la kutoa story za kumsafisha Lowasa.

Kama hii itakuwa kweli - msomaji ni juu yako kufanya wito hapa (make the call) kama ni ukweli au uongo - basi Kikwte atakuwa na some bollz ambazo amezionyesha kidogo hapa na kumtosa fisadi na mwizi mkuu Lowasa na cousin yake in crime Mramba (mzee wa nyasi).

Mama anadai kuwa baada ya NEC ya Butiama kuna mengi yatatokea na wengi huko ccm na serikali wenye kuweka usiku kwenye maendeleo ya watanzania watapigwa chini kibangusilo style - kuanzia chenge hadi kwa mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata - Rostam Azizi.

Kama hili litatokea - ni ombi na matumaini yangu kuwa litatokea - basi Kikwete atakuwa amepata ongezeko kubwa la bollz na inabidi apewe hongera kama atavuta hili (pull this one off).

Hongera Kikwete kwa unayopanga kuifanyia nchi ya wadanganyika. Kwa sasa yangu ni macho na masikio kwa kile ambacho umepanga na unataka kufanya kwa manufaa ya watanzania ambao nina hakika wote watakuunga mkono kama ukifanya haya.

Msomaji, huu ni mtizamo wangu binafsi. Ni juu yako kama kawaida na moto wa JF unavyosema kufanya wito wako (make your own call) kwenye hili!

Thanks

Too much mipango ya maendeleo but nothing substantive!

MWK, just hold back..usidanganyike hakuna kitu hapa ni longo longo tuu za JK na maswahiba wake.
 
I am glad mimi nilimshtukia tangu 1995 nikasema hiki kijamaa hakifai kuwa rais.Nikawaambia watu throughout the campaigns, watu wakawa kwenye euphoria na Kikwetemania.Kuna mchizi mmoja akamkata mtama huko kwa wasukuma nikaona kumbe bongo mpaka bush kuna watu wanashtukia dili (yule mchizi prophetic, sasa watanzania wataelewa umuhimu wake natafuta jina lake)

I hate to say I told you so.And as much as I hate to be a doomsday prophet, nothing is going to change under Kikwete.Maybe for the worse, but nothing for the better.

Actually i was one of those caught in KIKWETEMANIA na sasa naanza kuamini.

MASATU aliwahi kuniambia six months baada ya JK kuchaguliwa kuwa jamaa bado anaembelea masoko as if yuko kwenye kampeni za uchaguzi..je huyu mswahili mwenzetu tutamtetea after 1 year?

well it was written and now the revelation imekuwa kweli

I fear this guy atakuwa na the worst legacy tangu tupate uhuru na hii softly softly approach yake ndio iliyomponza

he is ready to broker peace in Kenya lakini he cant be arsed with Zanzibar

what a loser!
 
Aliahidi kuwa ataondoa politics kwenye kurun economy lakini from BOT inaonekana kuwa wizara ya FEDHA,MIPANGO na BOT zimejaa politics kuliko sehemu yoyote ile kwenye serikali yake

Game, though it's a fair argument, but i think the timeframe you are trying to weigh the achievement in this is rather inadequate. Issues in BoT and Fedha are still hot cakes, lets give'em ample time to present us with reviews of what they have done and planned to further. There then, will have no excuses!

Aliahidi angeleta damu mpaya lakini inashangaza kuona kuwa watendaji wake wengi ni wale wale waliokuwepo tangu enzi za Mkapa na wengien enzi za Mwalimu wakati dunia imeendelea mbele

mfano:

kitendo cha kumpeleka Ramadhani Mapuri kuwa balozi CHINA ni cha aibu sana kwani kule alitakiwa apelekwe chipukizi ambaye anaweza kuelewa kwanini Paulson alipokuwa Goldman Sachs alimake over 200 trips to China na mwishowe akachakuliwa kuwa secretary na Bush
I whole support this argument.

Sasa sijui nitamtetea vipi raisi wangu kwenye haya,Mmesema wasaidizi wake wamepitwa na wakati lakini je yeye anafanya jitihada gani kuwa na serikali ambyo ni inclusive ya watu ambao anaweza aikubaliane nao moja kwa moja lakini watu ambao ni wachapa kazi
trust me legacy ya JK is bound to fail kama hatofanya radical changes in the next six months
Hapa pia nakuunga mkono mkuu Game, he's responsible for the mess but just like many other African leaders, irresponsible!!
Hizo six month unazompatia ni bora nawe uonyeshe mfano kwa kuanza kuweka countdown na kujitoa kwenye kundi la manya irresponsible Africans... labda fungua thread ya countdown yako kama ile ya MwK alivyofanya kuhusu report, au ile yako ya Ikulu website kama sijakosea.

NB: Pls, naomba nisieleweke vibaya kuhusu kutumia mfano wa irresponsible Africans. I don't mean offence.

SteveD.
 
Game, though it's a fair argument, but i think the timeframe you are trying to weigh the achievement in this is rather inadequate. Issues in BoT and Fedha are still hot cakes, lets give'em ample time to present us with reviews of what they have done and planned to further. There then, will have no excuses!

Steve,

sikubali arguments za kusema kuwa its too early or too late

kwani umeshau kuwa Justice delayed Justice denied?

Richmond ilitokea lini na leo ni lini?

zaidi ya yote haiondoi ukweli ulio wazi kuwa JK anaongoza serikali ambayo ni corrupt and irresponsible in short what you see here is another disgraceful example of this Government's contempt of moral decency

Hapa pia nakuunga mkono mkuu Game, he's responsible for the mess but just like many other African leaders, irresponsible!!
Hizo six month unazompatia ni bora nawe uonyeshe mfano kwa kuanza kuweka countdown na kujitoa kwenye kundi la manya irresponsible Africans... labda fungua thread ya countdown yako kama ile ya MwK alivyofanya kuhusu report, au ile yako ya Ikulu website kama sijakosea.

NB: Pls, naomba nisieleweke vibaya kuhusu kutumia mfano wa irresponsible Africans. I don't mean offence.

La hasha kwani criticism ni muhimu sana mimi mchango wangu ni kujadili ninayona hayafai kwenye serikali na so far i cant even thing of anything good wamekifanya zaidi ya wao kujificha behind the curtain.

The truth is that the popularity that JK had in the early months of his Presidency was totally out of proportion with anything he had done and had more to do with the public, and Jambo forums especially, being relieved to see the back of Mkapa. So JK's fall should not come as a surprise.

Kama nilivyosema hapo awali, I was never one of those desperate and deluded people who believed that everything would just be perfect and that JK would give us a rose garden. Now that things are going rough, everyone of JK's shortcomings such as

- his shirking of responsibility

-his lack of courage

- his former PM bullying of other ministers

- his attempts to take the credit for good things but refusal to take the blame

- his cronyism -

However, there is something more fundamental than that at stake here and that is this CCM has run out of steam quicker than anyone thought did.

I cant wait to hear his lectures atakapokuja London kutuambia how good the conomy is and how well people are

At this point lets say JK is likely to be the BIG LOSER unless itokee miujiza. I suspect MKAPA yuko pembeni anacheka tu
 
At this point lets say JK is likely to be the BIG LOSER unless itokee miujiza. I suspect MKAPA yuko pembeni anacheka tu

.. I bet he is, but he dare not, soon or later mizimu ya Mchuchuma na Kiwira will make a victim out of him, be it by asphyxiation kwa 'matonge manene ya makaa' atakayo bwia!!
 
Kwa mazingira ya Bongo, ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, Kiutawala n.k... Bado JK ndiye ana-score point nyingi...

Matatizo mengi ya Watanzania yamezama kwa almost kila mtanzania...

Kuanzia mfagiaji, mhandisi, mwanasheria, mhadhiri.. tuna matatizo na moja ya tatizo lenu ni kudhani kwamba rais ndiye atafanya kila kitu... na kila mtanzania kuamini hawezi fanya lolote mpaka apate mfadhili
 
Kasheshe, ukisema hivyo kwa kweli mimi naona tunarudi kwenye 'chicken and egg' tautaulogy.

There should be a deviant element in the system to break this rather circular argument. Kikwete as a leader has the chance, but whether he uses or misuses it is another matter. The bottomline, we as voters naively believed and voted for him in draws to our own detriment. But again, you could ask me, how long before we see a chain breaker?... tough, Nyani has the answer!

SteveD.
 
Maovu yote haya yaliyofanywa na serikali ya JK bado unathubutu kusema Hongera,WHY KWANINI?
 
tuna matatizo na moja ya tatizo lenu ni kudhani kwamba rais ndiye atafanya kila kitu... na kila mtanzania kuamini hawezi fanya lolote mpaka apate mfadhili

Huhitaji kusomeshwa na profesa MWESIGWA BAREGU kujua kuwa taifa lenye njaa kama lile halihitaji kutumia mabilioni kupigana vita visivyo na kichwa wala miguu kule Comoro

haihitaji kuwa na degree kujua hilo

how about you start thinking critically kabla ya kupot nonesense kama hiyo hapo juu?

Kwa mazingira ya Bongo, ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, Kiutawala n.k... Bado JK ndiye ana-score point nyingi...

Matatizo mengi ya Watanzania yamezama kwa almost kila mtanzania...

Kuanzia mfagiaji, mhandisi, mwanasheria, mhadhiri.. tuna matatizo na moja ya tatizo lenu ni kudhani kwamba rais ndiye atafanya kila kitu... na kila mtanzania kuamini hawezi fanya lolote mpaka apate mfadhili

On the contrary; kuna maana gani kuwa na kiongozi kama hajui au hataki kuwaongoza hao wafagizi, wahandisi, wanasheria, wahadhiri....n.k.?
 
Huhitaji kusomeshwa na profesa MWESIGWA BAREGU kujua kuwa taifa lenye njaa kama lile halihitaji kutumia mabilioni kupigana vita visivyo na kichwa wala miguu kule Comoro

haihitaji kuwa na degree kujua hilo

how about you start thinking critically kabla ya kupot nonesense kama hiyo hapo juu?

GT umeulizwa ku substantiate madai kuwa bill haiendi AU.
 
Kasheshe, ukisema hivyo kwa kweli mimi naona tunarudi kwenye 'chicken and egg' tautaulogy.

There should be a deviant element in the system to break this rather circular argument. Kikwete as a leader has the chance, but whether he uses it or misuses it is another matter. The bottomline, we as voters naively believed and voted for him in draws to our own detriment. But again, you could ask me, how long before we see a chain breaker?... tough, Nyani has the answer!

SteveD.

Kwa kuongezea SteveD,

Raisi na serikali yake wana majukumu kabisa ya kutumia kodi na mapato mengine ya serikali kufanya the right thing kwa wananchi wa Tanzania bila maswali au mjadala.

Hata kama wasipofanya chochote na kuwataka wananchi wafanye kila kitu wao wenyewe, serikali bado inatakiwa isiharibu hata kile ambacho ni mali ya wananchi (kama kuuza migodi ya madini kwa bei ya karanga).

Nasubiri kwa hamu kuona nini kitatokea Butiama!
 
Kasheshe, ukisema hivyo kwa kweli mimi naona tunarudi kwenye 'chicken and egg' tautaulogy.

There should be a deviant element in the system to break this rather circular argument. Kikwete as a leader has the chance, but whether he uses it or misuses it is another matter. The bottomline, we as voters naively believed and voted for him in draws to our own detriment. But again, you could ask me, how long before we see a chain breaker?... tough, Nyani has the answer!

SteveD.

Actually Kikwete failed the first test as a leader when he had one of the biggest cabinet in sub Saharan Africa.It's a crying shame that he can't be held accountable so easily as a football coach and sacked.
 
GT umeulizwa ku substantiate madai kuwa bill haiendi AU.

Serikali haijatoa statements zinazoeleweka about the whole operation sasa kimya chao kinapelekea kila mmoja kuja na theory yake kwa sababu they thought walipa kodi dont matter in this case kujua pesa zao zinatumika vipi

BUT COMOROS debacle aside. the main argument still remains: JK is incompetent.You can always tell a man by the company he keeps. Just take a look at his inner circle. They are like the youth team, who have been brought on because the first team has either been injured or retired on huge pensions.
 
Back
Top Bottom