Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Wakati mwingine inabidi kuongelea mazuri tunayotegemea kufanyika mbeleni baada ya kuona usasa na uliopita (present and past) una mazuri machache sana ya kusherehekea.
Weekend ya pasaka nilikalishwa chini kwa masaa zaidi ya 5 na mama yangu na kumwagiwa propaganda ya nguvu sijawahi kusikia toka kwa mama tangu nizaliwe. Mama alianza kwa kunipa "inside story" anayodai kuwa ni matukio yaliyotokea siku chache kabla mzee wa visungura na ndege ya kupaa kwa mafuta ya ufisadi na wizi wa richmonduli - Edward Lowasa - kuachia madaraka.
Story inasema kuwa Lowasa na Sitta walikuwa karibu kabisa kufunika soo baada ya Sitta (mzee wa vimada) kumshushua mama Makinda na kumwambia aache kukurupuka na kuendesha mjadala wa kamati ya richmond bungeni. Stori inaendelea kusema kuwa ile safari ya mzee wa vimada aliyokurupuka na kusema kuwa anaifanya kuja marekani kwa mwaliko maalumu ilikuwa feki tu!
Story ambayo mama anaiita fact, inadai kuwa vasco da gama AKA Jakaya wa Kikwete alichukua hatua za haraka na kumpiga bonge la stop mzee wa "kukurupuka na vimada" huku akimrudisha Dodoma kwa spidi ya Jet ili akaendeleze mjadala wa Richmond. Habari zaidi zinasema kuwa ilibidi wakina mama waingilie kati na mama makinda akampanga mama mwenzake (shujaa wangu ndani ya ccm) Ana Malecela kuwa miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo kabisa wa mjadala wa Richmonduli. Kama kawaida na bila ajizi, mama Malecela akamwaga lazi huku akitoa msemo wa karne wa - kumtosa tingatinga kama akiweka usiku kwenye issue ya richmonduli.
Yaliyofuatia ni history na picha ya mwaka ya mama lowasa akilia bungeni huku Lowasa akipigwa stop kumwaga upupu kwenye TVT baada ya mwandishi wake maalumu - Ndugu Balile - kukosa gazeti huru la kutoa story za kumsafisha Lowasa.
Kama hii itakuwa kweli - msomaji ni juu yako kufanya wito hapa (make the call) kama ni ukweli au uongo - basi Kikwte atakuwa na some bollz ambazo amezionyesha kidogo hapa na kumtosa fisadi na mwizi mkuu Lowasa na cousin yake in crime Mramba (mzee wa nyasi).
Mama anadai kuwa baada ya NEC ya Butiama kuna mengi yatatokea na wengi huko ccm na serikali wenye kuweka usiku kwenye maendeleo ya watanzania watapigwa chini kibangusilo style - kuanzia chenge hadi kwa mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata - Rostam Azizi.
Kama hili litatokea - ni ombi na matumaini yangu kuwa litatokea - basi Kikwete atakuwa amepata ongezeko kubwa la bollz na inabidi apewe hongera kama atavuta hili (pull this one off).
Hongera Kikwete kwa unayopanga kuifanyia nchi ya wadanganyika. Kwa sasa yangu ni macho na masikio kwa kile ambacho umepanga na unataka kufanya kwa manufaa ya watanzania ambao nina hakika wote watakuunga mkono kama ukifanya haya.
Msomaji, huu ni mtizamo wangu binafsi. Ni juu yako kama kawaida na moto wa JF unavyosema kufanya wito wako (make your own call) kwenye hili!
Thanks