Hongera KIA kunahitajika Terminal mpya na waruhusu hotel kujegwa karibu

Ni hoja lakini sio ya msingi, soma hapo chini

Umbali wa miji ya Arusha na moshi haina zaidi ya 35km@ toka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro. Na kwa muda wa usiku haichukui zaidi ya nusu saa kufika hapo uwanjani kwani hamna msongamano wa magari. Ninazungumza biashara ninayoijua.
 
Hotel ni muhimu sana hasa mtu kupumzika kwa ajili ya safari za alfajiri na usiku.
Inaleraga presha sana kwa safari za 06:00 kwani unatakiwa kuripoti 04:00
So hotel zikiwepo mtu analala unaamkia hapo kilaini
Hamna kitu Sio kwa Afrika abiria wengi wanapenda kulala mijini kwenye starehe nyingi nk Airport hotels Africa Ni biashara ambayo hailipi.Nenda ariports kubwa Afrika Kama Nairobi au Addis Ababa ,Oliver Tambo south Afrika ,murtala Mohamed Nigeria nk hakuna Cha hotel Wala Nini Mambo yote mjini sembuse KIA.Kwa Nini watu hawapotezi muda kulala aiport hotel jibu rahisi gharama hata ya kukodi taxi tu kukutoa hotel mjini na kukupeleka airport Ni ndogo kuliko ungelala hoteli ya airport ambako kuko kimya hakuko live Kama mjini.Kwa Afrika nakataa hiyo biashara hailipi na abiria wengi waenda ulaya nk Wana magari yao na madreva au ndugu ana mdrive Hadi airport anytime Kama watalii wanakuwa na magari ya kuwabeba anytime.Wewe abiria gani wewe ambaye huna gari Huwezi hata Kodi gari kukupeleka airport hata iwe saa ngapi.Kwa wafanyakazi wa serikali wa Hali ya chini nakubali Lakini umaskini na kuwa mtu wa Hali ya chini inabidi mtu ukubali matokeo panda daladala mapema kalale kwenye mabenchi airport Hadi muda ufike Huku ukiomba Mungu akuondolee ulofa na umaskini.KIA SI mbali Kutoka KIA mwendo wa dakika kumi tu Kuna hoteli zipo bomang'ombe na taxi zipo Lakini hakuna msafiri anaenda lala hizo hoteli anayesafiri na ndege
 
Hotel ni muhimu sana hasa mtu kupumzika kwa ajili ya safari za alfajiri na usiku.
Inaleraga presha sana kwa safari za 06:00 kwani unatakiwa kuripoti 04:00
So hotel zikiwepo mtu analala unaamkia hapo kilaini

Yaani unasema wajenge hotel za kitalii na mtu alipe $200+ kwa masaa machache ili tu asihangaike?? Hapa tunazungumzia saa moja kutoa Arusha na pungufu ya saa kutoka Moshi. Kuwa serious - mtu atoke nyumbani aje kulala hotelini kwa safari ya hapa hapa Tanzania!!
 
Ingekuwa inalipa kujenga mahotel karibu na KIA zingekuwa zimeshajaa.. ila kwa jinsi miji ya Arusha na Moshi ilivyo karibu ni bora mtu alale Arusha au Moshi..
Ukifika OR Tambo intl airport kuna hoteli kibao then few kms (Joburg na Pretoria) kuna hoteli kibao. Bongo bado sana kwenye hospitality, bado sana Marketing strategies zetu za kizamani masharti kibao (viza fee, flight landing fee, wenyewe bahili-bahili sana)
 
Ukifika OR Tambo intl airport kuna hoteli kibao then few kms (Joburg na Pretoria) kuna hoteli kibao. Bongo bado sana kwenye hospitality, bado sana Marketing strategies zetu za kizamani masharti kibao (viza fee, flight landing fee, wenyewe bahili-bahili sana)
Mkuu hivi kwa akili za kawaida kabisa unaweza poteza Usd 50 kulala KIA au ulale Arusha mjini kwa same Price then u drive for 30 to 40 min kwenda Airport??

Kwanza KIA sio final destination, watalii wanashuka KIA wanakuja kulala Arusha then wanaunga kwenda Mbugani huko. The same kwa siku ya kurudi watu wanataka kula bata Arusha mjini then asubuhi chaap wanaenda kupanda ndege na kusepa.

Unadhani hao wamiliki wa hotels mbugani kule wasingekuwa wameshajenga hizo hotel hapo KIA? but hailipi ndo maana wanakimbizana kule maporini kujenga hotel za kisasa kabisa
 
Back
Top Bottom