Hongera JK, Omba Muhula Wa Tatu

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,510
7,540
Waliosema yeye ni chaguo la Mungu hawakukosea na maisha bora kwa kila mTz yameonekana. Ajira zimeongezeka kiasi cha tunaojiari wenyewe kukatazwa mfano bodaboda na machinga ili tukaajiriwe sekta rasmi, safi sana!

Pendekezo langu kama inawezekana aongezewe au ashawishiwe kuongeza muhula wa tatu ili akamilishe ahadi zote ambazo hajazikamilisha au ikishindikana mwanae agombee Urais ili akamilishe ahadi za baba yake kama kule Kalenga, Gabon, Togo Na kwingineko. Ni hayo tu!
 
afadhali aje kutuongoza slaa kuliko.......maisha bora kwa kila mtanzania hai......
 
Waliosema yeye ni chaguo la Mungu hawakukosea na maisha bora kwa kila mTz yameonekana. Ajira zimeongezeka kiasi cha tunaojiari wenyewe kukatazwa mfano bodaboda na machinga ili tukaajiriwe sekta rasmi, safi sana!

Pendekezo langu kama inawezekana aongezewe au ashawishiwe kuongeza muhula wa tatu ili akamilishe ahadi zote ambazo hajazikamilisha au ikishindikana mwanae agombee Urais ili akamilishe ahadi za baba yake kama kule Kalenga, Gabon, Togo Na kwingineko. Ni hayo tu!

Kwani hii ni ya kifalme? Bodaboda ni janga la taifa tutakuja juta pale zaidi ya nusu ya vijana wa Ktz watakapokuwa wagonjwa na vilema na hapo utaona tifa likikosa vijana wa kuingia jeshini, vibarua katika kqzi mbalimbali nk.
 
Wengi wanafurahia yeye kutotangaza kama mugabe na museveni dhidi ya mapenzi ya jinsia moja, naona na wewe mtoa mada umempenda kwa hili tu!
 
Muhula wa tatu! labda achaguliwe na Familia yake..... kwanza nahisi mwenyewe hataki tena
 
Waliosema yeye ni chaguo la Mungu hawakukosea na maisha bora kwa kila mTz yameonekana. Ajira zimeongezeka kiasi cha tunaojiari wenyewe kukatazwa mfano bodaboda na machinga ili tukaajiriwe sekta rasmi, safi sana!

Pendekezo langu kama inawezekana aongezewe au ashawishiwe kuongeza muhula wa tatu ili akamilishe ahadi zote ambazo hajazikamilisha au ikishindikana mwanae agombee Urais ili akamilishe ahadi za baba yake kama kule Kalenga, Gabon, Togo Na kwingineko. Ni hayo tu!

Duh!!!
 
Muhula wa tatu! labda achaguliwe na Familia yake..... kwanza nahisi mwenyewe hataki tena
Hataki tena! Nafikiri ni Katiba tu ndiyo ina wakwaza marais, vinginevyo wange ung'ang'ania urais kama kupe kwenye ngozi ya mnyama!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom