Hongera JK kwa kututoa katika Umaskini duniani! ila bado ....

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,136
Leo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person.

1980386.55
1981414.7327.29 %
1982426.6962.88 %
1983426.078-0.14 %
1984430.4281.02 %
1985446.8783.82 %
1986466.7534.45 %
1987493.5345.74 %
1988523.0285.98 %
1989545.0794.22 %
1990590.0388.25 %
1991604.4392.44 %
1992603.421-0.17 %
1993605.4290.33 %
1994609.3490.65 %
1995625.7182.69 %
1996648.2053.59 %
1997664.8412.57 %
1998678.2922.02 %
1999705.8374.06 %
2000731.923.70 %
2001772.6555.57 %
2002824.6786.73 %
2003882.4557.01 %
2004942.26.77 %
20051008.9247.08 %
20061094.4448.48 %
20071180.8477.89 %
20081269.7257.53 %
20091342.2995.72 %
20101416.8635.55 %

Pia graph hii inaonyesha kwa urahisi zaidi click link hii hapa:-
Tanzania GDP - per capita (PPP) - Economy

Nakupongeza Rais wetu JK kwani ukuaji wa GDP umekuwa mkubwa kuanzia 2005- kuendelea despite turbulent economic pressure from the West in 2008-2010. Ila kuna mambo yanahitajika kuendelezwa mfano distribution of this wealth needs to reach mwananchi wa kawaida wa nchi yetu naye aone kuna mabadiliko.

Tanzania imetoka nafasi ya chini kuwa nchi ya tatu kwa umaskini duniani kuwa nchi ya 51 kwa umaskini duniani and still climbing. We are 24th poorest nation 2 step behind Kenya and projected that by 2014 we shall surpass Kenya to be wealthiest nation in East Africa. Tunahitaji pia mabadiliko katika sarafu ya nchi iendane na ukuaji huu wa uchumi wa Tanzania. Kudos JK kwa kazi nzuri steam on!
 
ki2 cha mpongeza jk ni kuwa mtanashati na tabasamu lake kwenye mambo ya uchumi hayumo.He is economically undefined afadhali na waliomtangulia jkn-mjamaa halis,mwinyi-ruhsa na ben-kubana matumizi
 
GDP &Per capita income is not a good measure of economic development..so those statistical data have nothing to do with the living condition of poor Tanzanians..
 
ki2 cha mpongeza jk ni kuwa mtanashati na tabasamu lake kwenye mambo ya uchumi hayumo.He is economically undefined afadhali na waliomtangulia jkn-mjamaa halis,mwinyi-ruhsa na ben-kubana matumizi

So unatuambia JK tusimpongeze katika hili? Nafikiri utakuwa mkosaji wa shukrani. Hebu chungulia tena hizo data kipindi cha mwinyi GDP per capital ilikuwa baina 400-600 (sehemu ambayo Zimbabwe, Congo wapo sasa hivi). Mkapa GDP per capital income ilikuwa baina ya (600-1000) which is commendable. JK from 2005-2011 ni baina ya (1000-1400 ) je haikutoshi kumpongeza kwani yuko sawa sawa na mkapa kwa ukuaji wa uchumi kwa kipindi cha miaka 4. Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.
 
Wakuu hizo namba zisiwandanganye hata kidogo. Ukitaka upate hali halisi ya mambo jaribu kuangalia thaman ya dola against Tsh, kwa miaka hiyo ya 1980's na hii ya sasa.

Halafu soma takwimu upya, utatambua kuwa tunapiga mark time. Leo hii 1$ = 1680 Tsh (ni hatari!)
 
GDP &Per capita income is not a good measure of economic development..so those statistical data have nothing to do with the living condition of poor Tanzanians..

I know and that is why nimesema bado kwani mfano statistics zinaonyesha hivi:-
Thamani ya shillingi Tanzania against one US dollar
Year GDP US dollar exchange rate:-
198045,7498.21 Shillings
1985115,00617.87 Shillings
1990830,693195.04 Shillings
19953,020,501536.40 Shillings
20007,267,133800.43 Shillings
200513,713,4771,127.10 Shillings
2010-1,515.10 Shillings

Utaona shillingi yetu inaporomoka mno kupita kiasi kufanya hali ya maisha iwe ngumu nchini ( from 1$: 8 Tshs to 1$ : 1515 Tshs ). Sababu moja wapo kuu ni uzalishaji kudorota kutokana na upatikanaji hafifu wa nishati ya umeme. Serikali ya Tanzania ikifanikiwa kutatua tatizo la umeme haraka iwezekanavyo uchumi utasimama tena. Isitoshe utumiaji wa fedha za kigeni kwa wingi nchi nao umechangia tungeliweza kuweka policy ya kuzuia utumiaji huu wa fedha za kigeni nchini mambo labda yangelikuwa tofauti. Pia mapato ya madini yaongezeke ushauri wangu tubakie na huo mrahaba 3 ikibidi lakini serikali iwalazimishe makampuni ya madini yaweyamejisajili hapa ili kodi kama za corporation tax, capital gain, PAYE ziongeze pato la nchi. Vile vile kampuni za kigeni zikiwa listed nchini watanzania wataweza kuwekeza na kuliongozea pato nchi through kodi. Pia iboreshwe miundo mbinu ya nchi kama barabara ili kupunguza gharama za maisha za mtanzania na kutoa nafasi za kazi. Hivyo kuna mambo mengi yanaweza kufanyika kuboresha maisha. This is a success to me kwa JK ijapokuwa sikubaliani naye katika suala zima la ufisadi nchi but hapa nampongeza sana tu hongera as a step forward!!!
 
I know and that is why nimesema bado kwani mfano statistics zinaonyesha hivi:-
Thamani ya shillingi Tanzania against one US dollar
Year GDP US dollar exchange rate:-
198045,7498.21 Shillings
1985115,00617.87 Shillings
1990830,693195.04 Shillings
19953,020,501536.40 Shillings
20007,267,133800.43 Shillings
200513,713,4771,127.10 Shillings
2010-1,515.10 Shillings

Utaona shillingi yetu inaporomoka mno kupita kiasi kufanya hali ya maisha iwe ngumu nchini. Sababu moja wapo kuu ni uzalishaji kudorota kutokana na upatikanaji hafifu wa nishati ya umeme. Serikali ya Tanzania ikifanikiwa kutatua tatizo la umeme haraka iwezekanavyo uchumi utasimama tena. Isitoshe utumiaji wa fedha za kigeni kwa wingi nchi nao umechangia tungeliweza kuweka policy ya kuzuia utumiaji huu wa fedha za kigeni nchini mambo labda yangelikuwa tofauti. Pia mapato ya madini yaongezeke ushauri wangu tubakie na huo mrahaba 3 ikibidi lakini serikali iwalazimishe makampuni ya madini yaweyamejisajili hapa ili kodi kama za corporation tax, capital gain, PAYE ziongeze pato la nchi. Vile vile kampuni za kigeni zikiwa listed nchini watanzania wataweza kuwekeza na kuliongozea pato nchi through kodi. Pia iboreshwe miundo mbinu ya nchi kama barabara ili kupunguza gharama za maisha za mtanzania na kutoa nafasi za kazi. Hivyo kuna mambo mengi yanaweza kufanyika kuboresha maisha.

Haya unayoyasema hujaanza wewe, hata JK aliahidi review ya sekta ya madini na mchango wake kwenye pato la Taifa, six years on. Hakuna kitu, we are good architects but not builders. Tunapanga sana.
 
Wakuu hizo namba zisiwandanganye hata kidogo. Ukitaka upate hali halisi ya mambo jaribu kuangalia thaman ya dola against Tsh, kwa miaka hiyo ya 1980's na hii ya sasa.

Halafu soma takwimu upya, utatambua kuwa tunapiga mark time. Leo hii 1$ = 1680 Tsh (ni hatari!)

Hoja yako ingekuwa na maana km data hizo hapo juu zingekuwa zimetolewa kwa Tshs ila zimetolewa kwa dola. Kwa hiyo si hoja tena. Na si kila kitu kupinga vitu vingine kubalini tu na kumbukeni hata New York haikujengwa kwa siku moja, well done JK
 
Analysis nusu nusu. The reality is that a dollar just ain't what it used to be. $1.00 in 1980 had the same buying power as $2.86 in 2011. Annual inflation over this period has been 3.45%.
 
Haya unayoyasema hujaanza wewe, hata JK aliahidi review ya sekta ya madini na mchango wake kwenye pato la Taifa, six years on. Hakuna kitu, we are good architects but not builders. Tunapanga sana.

Ndio waanze naungana na wewe kwa hili ila vile vile tusiache kumpongeza every step of the way hata mtoto wako uliyemzaa akigeuka kitandani anapokuwa mchanga wa miezi nane -12 unampigia makofi, akianza kutembea unampigia makofi, akianza shule pia unamnunulia nguo mpya, akifaulu unamchukulia zawadi kumpa, hadi anakuwa raia mwema. Rome was not build in one day. This is success still tulikuwa the third or second poorest country in the world sasa tuko 50 kitu. Wakaze buti tutafika safari.
 
Mdondoaji, wengine hatuko kwenye field ya uchumi.....hizi takwimu kwa kweli zinatuchanganya sana....!! Nimeshasikia sana hata maprofesa wakisema uchumi unakuwa ila si kwa kila mtu....! sijaielewa hii $1,400 per person....! unaweza kunifafanulia hapo kidogo?
 
Hoja yako ingekuwa na maana km data hizo hapo juu zingekuwa zimetolewa kwa Tshs ila zimetolewa kwa dola. Kwa hiyo si hoja tena. Na si kila kitu kupinga vitu vingine kubalini tu na kumbukeni hata New York haikujengwa kwa siku moja, well done JK

thats right bt kumbuka kuwa sasa ni miaka 50 tangu uhuru.....we'r 15 years back from where we were supposed 2b at the present.....unadhani jk na chama chake cha mafisadi wapewe miaka mingapi zaidi ili watufikishe japo kwenye uchumi wa India! wamefika mwishio wa akili zao.....waondoke.
 
Analysis nusu nusu. The reality is that a dollar just ain't what it used to be. $1.00 in 1980 had the same buying power as $2.86 in 2011. Annual inflation over this period has been 3.45%.

Which is analysis nusu au huelewi?

Let me make it clear our per capital income in 1980 was every person in Tanzania has an income of $386 per year. 2010 Tanzania per capital income is $1410 per person huelewi kipi?

Kuhusu exchange rate hilo swala jengine sie tunazungumzia maendeleo kwani China is the second largest economy in the World behind USA but unajua exchange rate renimbi ni bei gani:-
1$ = 6.376 Chinese yuan.

Hivyo your argument is merely pointless
 
Mwandikie barua magogoni kule uweke na picha yako na simu yako na mail yako mpelekee atakutafuta pembeni tuondolee upupu hapa .Fika Igunga kaa wiki zungukakote then njoo hapa na data zako za mjini Dar .
 
Mdondoaji, wengine hatuko kwenye field ya uchumi.....hizi takwimu kwa kweli zinatuchanganya sana....!! Nimeshasikia sana hata maprofesa wakisema uchumi unakuwa ila si kwa kila mtu....! sijaielewa hii $1,400 per person....! unaweza kunifafanulia hapo kidogo?

Mkuu,

Per capital income ni kwamba inachukuliwa total GDP divide by the population of the country. Tunapata kitu kinaitwa GDP per capital or jina jengine kila mtanzania anategemewa kuwa na kiwango gani cha fedha kwa mwaka nchini kwake. Kawaida hii sio accurate measure of the distribution of income ya nchi ila ni estimation kutokana jumla ya pato la uzalishaji nchini na watu walioko nchini. Ni kipimo cha kutizama nguvu ya thamani ya sarafu (Purchasing power). Duniani sasa hivi nchi tajiri duniani ni Qatar ikifuatiwa na Lincheinstein wakati nchi maskini duniani ni Congo wakifuatiwa na Liberia na Burundi

Tanzania imejitahidi sana kutoka 1980 ambapo la kila mtanzania lilikuwa $386 per person kufikia hadi $1410 per person. Pato la $386 Tanzania tulikuwa nchi zinazoshika mkia kwa umaskini duniani. Leo hii Tanzania tuko nyuma ya Kenya kwa nafasi mbili tu Kwani Kenya pato la Mkenya ni $ 1616 wakati sisi ni $1,410. Wakaze buti tutafanikiwa kuwazidi.
 
Which is analysis nusu au huelewi?

Let me make it clear our per capital income in 1980 was every person in Tanzania has an income of $386 per year. 2010 Tanzania per capital income is $1410 per person huelewi kipi?

Kuhusu exchange rate hilo swala jengine sie tunazungumzia maendeleo kwani China is the second largest economy in the World behind USA but unajua exchange rate renimbi ni bei gani:-
1$ = 6.376 Chinese yuan.

Hivyo your argument is merely pointless
ahaaa...! Sasa mkuu wengine katika field zetu tumezoea ile kitu inaitwa logical thinking...! Sasa hii kipato cha usd 1410 kimetoka wapi? kwa kujumlisha pato lote la taifa kwa mwaka na kugawanya kwa kila mtanzania mmojammoja au???
 
Mkuu,

Per capital income ni kwamba inachukuliwa total GDP divide by the population of the country. Tunapata kitu kinaitwa GDP per capital or jina jengine kila mtanzania anategemewa kuwa na kiwango gani cha fedha kwa mwaka nchini kwake. Kawaida hii sio accurate measure of the distribution of income ya nchi ila ni estimation kutokana jumla ya pato la uzalishaji nchini na watu walioko nchini. Ni kipimo cha kutizama nguvu ya thamani ya sarafu (Purchasing power). Duniani sasa hivi nchi tajiri duniani ni Qatar ikifuatiwa na Lincheinstein wakati nchi maskini duniani ni Congo wakifuatiwa na Liberia na Burundi

Tanzania imejitahidi sana kutoka 1980 ambapo la kila mtanzania lilikuwa $386 per person kufikia hadi $1410 per person. Pato la $386 Tanzania tulikuwa nchi zinazoshika mkia kwa umaskini duniani. Leo hii Tanzania tuko nyuma ya Kenya kwa nafasi mbili tu Kwani Kenya pato la Mkenya ni $ 1616 wakati sisi ni $1,410. Wakaze buti tutafanikiwa kuwazidi.
basi hizo takwimu siyo sahihi na wala hazi reflect kipato cha watanzania wengi wa kawaida hasahasa wa vijijini.!
 
ahaaa...! Sasa mkuu wengine katika field zetu tumezoea ile kitu inaitwa logical thinking...! Sasa hii kipato cha usd 1410 kimetoka wapi? kwa kujumlisha pato lote la taifa kwa mwaka na kugawanya kwa kila mtanzania mmojammoja au???

Kachukue GDP ya Tanzania ya 2010 gawanya kwa total number of population ya Tanzania ndio unapata GDP per capital . sielewi vp watu wengine wanabeza mafanikio haya wakati China pamoja na kuwa nchi Tajiri duniani na nchi ya pili kwa ukubwa duniani kuna karibia watu 1 Billion wanaoishi katika umaskini na less than dollar a day? Despite China GDP per capital is $7,500 ndogo kuliko hata Jamaica, South Africa. Kila kitu taratibu mafanikio hayaji siku moja wakuu.
 
Back
Top Bottom