"Hongera JK kwa kukuza uchumi"-watanzania wa Australia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Hongera JK kwa kukuza uchumi"-watanzania wa Australia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Oct 27, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Umoja wa Watanzania waishio Australia umempöngeza rais Kikwete kwa kukuza uchumi wa nchi,na kuifanya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi 10 dunian,ambazo uchumi wake unakua kwa kasi sana.
  Pia wamempongeza kwa kuruhusu uhuru wa habari,kwani japo wao wapo ughaibuni lakin wanapata habari
  sosi:habari kwa ufupi ya saa kumi alasiri@ radio one
   
 2. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Wamtafutie chuo huko Australia wampe degree nyingine ya kukuza uchumi.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hahahahahah,dah sanja unanchekesha sana
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Uuuuuuwiiiiii!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nataka watu wa uchumi na media waje watufafanulie hii mambo
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Waambie wampe zawadi ya U-Prof hizo Phd anazo nyingi mno, akili zao zipo wapi hao wabongo waishio huko? wanajua matatizo ya huku nyumbani au wanampa sifa za kijinga huyo Fisadi?
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  ndallo nini tena?
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Dola moja ya Marekani leo hapa Arusha tarehe 27/10/2011 inanunuliwa kwa shilingi 1800 kweli uchumi unakua kwa kasi mno!
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  exchange rate 1800tsh per 1USD
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  nadhan that iz what they mean
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Hawa wakimbizi wakibongo wamekimbia bongo kutokana na maisha magumu halafu wanampa jamaa kichwa kwakusema uchumi hapa unakua kwa kasi sasa si warudi kuja kuwekeza walichovuna huko? Nyambafuuuuu!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hivi chuo cha waandishi wa habari graduation yao ishapita? Kuna haja pia ya kumpa digrii ya heshima ya habari!
   
 13. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi nyie watu wa Australia mna mawasiliano na watu wa nyumbani? Uchumi gani umekuwa sasa? au mnampamba tu ili aweze patiwa phd nyingine ya uchumi sio
   
 14. N

  NIMIMI Senior Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dar 1$ = 1850tsh kuiuza ni Tsh 1890 ukweli uchumi unakua.
   
 15. j

  jigoku JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,334
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kujipendekeza huko,wanamsifia kwa kitu gani?wanafiki wakubwa hao.
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,083
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Duh uchumi unakua sana kwa kweli maana kwa sasa kilo ya sukari ni 3000 na bado haipatikani na inabidi tununue kwa coupon
  Duh kweli uchumi unakua kwa mujibu wa waishio Australia

  Hivi kweli hao jamaa wanajua maisha ya mtanzania wa kule meatu au mfaranyaki au hungumalwa au kasulu au wanaongea tuu
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,465
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Hao sio watanzania ni waaustralia hawajui lolote kuhusu nchi yetu,ndio maana wanapongezana kwa ujinga pumbavu sana.
   
 18. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,894
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Kama ni kujipendekeza wenzetu wamezidi......
  Very Stupid!
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  punguza hasira mdau ndo watz wenzetu hao
   
 20. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kazi nzuri mh Rais.
  Wenye macho wanaona.
  OTIS.
   
Loading...