Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Lile daraja lililomshinda Keenja kwa miaka yote ya ubunge wake na aliopoingia tu mpambanaji Mnyika na peoples power kwa ujumla,akafanikisha kuwabana watendaji wabovu wa manispaa ya kinondoni kwa kufanikisha ujenzi wa DARAJA hilo,leo linafunguliwa rasmi na Mkuu wa nchi.Hongera sana Mnyika.
 
Sipati picha jamaa watajaa na majezi yao ya kijani,dawa hapo makamanda wa maeneo hayo mpaka Kimara ni kupiga
kombati na tisheti za M4C halafu mnajaa kibao,maana kuna nguvu CDM hapo,hawa jamaa bila kubanwa hawafanyi
 
Lile daraja lililomshinda Keenja kwa miaka yote ya ubunge wake na aliopoingia tu mpambanaji Mnyika na peoples power kwa ujumla,akafanikisha kuwabana watendaji wabovu wa manispaa ya kinondoni kwa kufanikisha ujenzi wa DARAJA hilo,leo linafunguliwa rasmi na Mkuu wa nchi.Hongera sana Mnyika.

Julisha hili daraja lipo wapi?
 
hivi kumbe alibeba sepeto na sururu kujenga enh! na keenja alikuwa anatumia jembe sio??
 
Hapa nimeongea usimamizi wa Mnyika ndo umefanikisha hili,halafu mwehu mmoja anasema kwaq bajeti ipi kajenga,mwingine anasema kabeba sululu sijui,walevi wengi humu.
 
Nitakuwepo leo, nimesafiri kutoka Kyerwa nije kumwona Entare Rwakatare hapo Kisutu na Kuongea na Bwana Mnyika.
 
Ok asante! Sasa limekamilika? Nilidhani lile la pale mabibo hostel na ubungo maziwa.

Aaa! ndugu yangu vipi tena,mbona umeanza vizuri unamaliza vibaya?,ina maana hiyo heading hukuisoma vizuri?, au golani haijulikani iko maeneo gani?
 
Aaa! ndugu yangu vipi tena,mbona umeanza vizuri unamaliza vibaya?,ina maana hiyo heading hukuisoma vizuri?, au golani haijulikani iko maeneo gani?

Ukweli sijui golani iko wapi, nilidhani jina la daraja kumbe kitongoji, nimeelewa. Ni kama nipo dar lakini nina miaka 8 sijafika mbagala, temeke nina miaka 5 sijafika sinza ofisi posta basi.
 
Mmh, kwa hiyo mkeo akikusimamia ukajenga nyumba sifa zote kwa mkeo??

Usingetafuta hiyo pesa ya kujengea angesimamia nini??

Mkuu amini usiamini kuna wanawake wamewasimamia waume zao kujenga vinginevyo wasingejenga kamwe!

CHADEMA imefanya kazi kubwa sana kuifanya serikali ya CCM ifanye kazi,hawa jamaa walikuwa wamelala usingizi wa pono!
 
Hapa nimeongea usimamizi wa Mnyika ndo umefanikisha hili,halafu mwehu mmoja anasema kwaq bajeti ipi kajenga,mwingine anasema kabeba sululu sijui,walevi wengi humu.
Usiwe mwepesi kutukana...calm down...taarifa ulioleta ni nzuri tu....lugha ya stara humkweza mtu kuonekana ana busara...
 
Kwa hiyo case hiyo hapo juu, mwanamme hapati credit zake??

Mkuu amini usiamini kuna wanawake wamewasimamia waume zao kujenga vinginevyo wasingejenga kamwe!

CHADEMA imefanya kazi kubwa sana kuifanya serikali ya CCM ifanye kazi,hawa jamaa walikuwa wamelala usingizi wa pono!
 
Kwetu ss wakazi wa golani mnyika mkombozi wetu. Tuache blabla, kaleta mabadiliko kwa muda mfupi tuliokuwa naye
 
Anyway, ujue zamani tulikuwa tunasomesha kwanza watoto tunakuja jenga kwa kiinua mgongo, so ulitaka watoto watuulizwe, kwa nini hukujenga ujanani?? kwa bajeti ipi??
Au wee leo mkeo ukimuoa siku ukijenga aseme, siku zote ulikuwa wapi?

Kila mtu kacheza part yake kwenye hili

Miaka yoteeee hatukuwa na Serikali??
Mnyika anahitaji pongezi kwa hili, kwani alihakikisha anaikalia kooni Serikali ili itimize ahadi zake kwa wananchi wa huko Golani.
 
Back
Top Bottom