Oooh yes, well said my friend!!Nadhani role ya JF ni kama whistlebrowers, na nchi hii ina vyombo luluki vya ulinzi na usalama kuweza kufanyia kazi tuhuma zinazoelekezwa kwa viongozi wetu. Ndugu yetu @P. Mayala usiwe mwepesi kumtetea mtu kwa kumsiliza kwenye video ukaamini kwamba ni mwadilifu. Grand emblezements juu rasilimali za taifa hufanywa na watu wenye nafsi kubwa za kimadaraka
Nafikili Pascal Mayala kakupata vilivyo!