Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,677
- 26,997
Kuna kundi la VIJANA walioibuka kufanya siasa za kishabiki (siasa za kimakundi-makundi).
Kwao yoyote yule ambaye si kundi lao basi watamsakama ilimradi atoke tu, ndomaana Ukivhunguza vizito utagundua haohao wanaotaka Dotto Biteko ang'oke kwenye uwaziri kwa kutoa tuhuma wasizoweza kuzithibitisha ndo haohao wanaoshupaza shingo kutetea upuuzi unaoendelea kwenye wizira ya January.Kwahiyo kikubwa hapo sip uzalendo bali ni upumbavu tu, haiwezekani mtu huyohuyo amshitumu Biteko alafu huyohuyo atetee mgao wa umeme kwa gharama yoyote.