Hongera Jamii Forums & Moderators | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Jamii Forums & Moderators

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyambala, Nov 5, 2010.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hongereni wanaJF wote na moderators kwa kushiriki kikamilifu katika zoezi zima la uchaguzi kwa namna yeyote ile. I am sure JF has been influential and effective katika huu uchaguzi zaidi hata ya our main stream media sometimes.

  Mods nawapongeza sana kwa kuhakikisha forum yetu tuipendayo kuwa live by almost 99.8% of the time katika kipindi hiki cha uchaguzi na with completely no hiccups kwenye wiki ya mwisho ya kampeni mpaka matokeo. Jambo ambalo si rahisi with a forum of our size.

  We have done our part and will keep doing it. Sasa tusonge mbele.

  By the way napenda kuchangia $50 ili kazi iendelee. Invisible tuwasiliane

  All the best to everyone.
   
 2. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nyambala tunashukuru pia kwa support ya members ambao wamekuwa wakituarifu juu ya posts zisizokuwa za kiungwana na mods kuzifanyia kazi haraka.

  Aidha, tunawashukuru LHRC, TACCEO, HakiElimu, Hivos, SODNET na wadau wote ambao tulishirikiana bega kwa bega katika kuhakikisha tovuti ya Uchaguzi Tanzania inakuwa hewani muda wote na inafikisha ujumbe haraka kwa wadau bila upendeleo. Aidha, tunawashukuru kwa kuitambua JF kuwa sehemu credible na kukubali kushirikiana nasi kama Election Observers.

  Shukrani sana kwa members ambao mmekuwa mkitoa maoni yenu kiungwana, na hata wale ambao mlivumilia pindi comments zenu zilipoondolewa aidha bila maelezo au kwa maelezo ambayo huenda hamkufurahishwa nayo.

  Ahsanteni sana kwa niaba ya wenzangu wote
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  All the best wakuu!
   
Loading...