Hongera Jakaya Kikwete vision yako ya kujenga barabara zinazopita juu leo imetimia, wewe ni ‘true leader’

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,492
92,931
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya magari.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilisema Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM alitoa agizo hilo juzi, baada ya kupewa taarifa ya utendaji ya CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Mwenyekiti huyo alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu ya kukagua shughuli za CCM mkoani humo.

"Hili la flyovers lipewa kipaumbele ili tupunguze msongamano wa magari katika Dar es salaam. Tusipofanya hili jiji hili litakuwa halipitiki katika muda wa miaka mitano, ama hata katika miaka miwili ama mitatu ijayo," Rais Kikwete.

Rais Kikwetepia aliwaagiza wataalam wa mipango miji katika Jiji la Dar es Salaam, kuanza kupunguza maeneo yasiyopimwa kwa kuzingatia kuwa kwa sasa ni asilimia 30 ya jiji ndiyo iliyopimwa.

Alisema Jiji la Dar es Salaam, haliwezi kuendelea kupanuka bila mpangilio na kwamba wakati sasa umefika wa kuhakikisha kuwa linajengwa kwa kuzingatia mipango miji.

"Hatuwezi kuendelea namna hii na mji unaopanuka namna hii. Hili ni jambo zito, kubwa linalohitaji umakini wa haraka kutatuliwa. Ndio maana kipindupindu hakiishi katika mji huu." alisema Rais Kikwete baada ya kupata taarifa kutoka kwa watalaam wa huduma za maji, ardhi na barabara.

Katika mkutano huo, Rais Kikwete pia alipewa taarifa kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na ukosefu wa maji ya katika jiji hilo.

Rais Kikwete pia aliusifu utendaji wa CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam akiwataka viongozi wa chama hicho kutafuta njia za haraka za kutatua matatizo ya wananchi.

"Angalieni na chunguzeni sana matatizo ya wananchi. Haya ndiyo muhimu kwetu kuyashughulikia, tena kwa haraka. Hii ndiyo nguvu ya chama chetu," amesema Mwenyekiti huyo wa CCM

Source: MWANANCHI
 
Weka na tarehe ya hiyo barua ikibidi ambatanisha na screenshoot tusije tukaanza kutoa maoni kumbe ni fake news
 
Yeah, vision yake imeanza kuleta matunda. We need visionary leaders, sio kubwatuka majukwaani tu.
 
HAHAHAHA yaah ni mwana CCM na imetekelezwa na mwana CCM na mengine yataendelea kutekelezwa na wana CCM wenzie ....
Leo hii mmeanza kula matapishi yenu baada ya miaka mingi ya kusema CCM haijafanya lolote ila leo mmekubali sisiemu kuna jambo imefanya na itaendelea kufanya...kuna wanaotoa maoni na watekeleza maono..
Kidumu chama cha mapinduzi.
 
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya magari.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilisema Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM alitoa agizo hilo juzi, baada ya kupewa taarifa ya utendaji ya CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Mwenyekiti huyo alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu ya kukagua shughuli za CCM mkoani humo.

"Hili la flyovers lipewa kipaumbele ili tupunguze msongamano wa magari katika Dar es salaam. Tusipofanya hili jiji hili litakuwa halipitiki katika muda wa miaka mitano, ama hata katika miaka miwili ama mitatu ijayo," Rais Kikwete.

Rais Kikwetepia aliwaagiza wataalam wa mipango miji katika Jiji la Dar es Salaam, kuanza kupunguza maeneo yasiyopimwa kwa kuzingatia kuwa kwa sasa ni asilimia 30 ya jiji ndiyo iliyopimwa.

Alisema Jiji la Dar es Salaam, haliwezi kuendelea kupanuka bila mpangilio na kwamba wakati sasa umefika wa kuhakikisha kuwa linajengwa kwa kuzingatia mipango miji.

"Hatuwezi kuendelea namna hii na mji unaopanuka namna hii. Hili ni jambo zito, kubwa linalohitaji umakini wa haraka kutatuliwa. Ndio maana kipindupindu hakiishi katika mji huu." alisema Rais Kikwete baada ya kupata taarifa kutoka kwa watalaam wa huduma za maji, ardhi na barabara.

Katika mkutano huo, Rais Kikwete pia alipewa taarifa kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na ukosefu wa maji ya katika jiji hilo.

Rais Kikwete pia aliusifu utendaji wa CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam akiwataka viongozi wa chama hicho kutafuta njia za haraka za kutatua matatizo ya wananchi.

"Angalieni na chunguzeni sana matatizo ya wananchi. Haya ndiyo muhimu kwetu kuyashughulikia, tena kwa haraka. Hii ndiyo nguvu ya chama chetu," amesema Mwenyekiti huyo wa CCM

Source: MWANANCHI
Cha msingi Kikwete ni mwanaccm siyo mpinzani!
 
Unapata tabu sana na bado
 
Kikwete pamoja na kuwa alikua Mwizi ila alijua kula na vipofu

Daraja la kigamboni, Magari ya mwendokasi, na ili daraja la Tazara

Jamaa alikua na vision ya kuona mbali na bright sana kwenye issues za kiuchumi

Huyu jamaa mpaka sasa ajazindua mradi wake hata mmoja tunasubiri labda SGR na Umeme wa maji kama atafanikiwa kabla ya Muda wake kuisha,
 
Mkuu technically, kumbuka kuwa JK na Ngosha wote ni CCM.
 
Maana kuna wanaccm leo waliojaa unafki mtupu hata kulitaja jina la Mzee Kikwete kwao ni uchuro ila ukweli huwa haupindishwi, watu wenye vision ndio wanaotakiwa dunia nzima.
Na kwa hili ni zaidi ya vision!! Karibu hatua zote za awali hadi funding ya TAZARA Flyover zilifanyika wakati wa Mkwere.

Tazara Flyover Construction is starting

Tanzania National Roads Agency (TANROADS) and Sumitomo Mitsui Construction Co.,Ltd. (SMCC) signed a contract on 15th October, 2015 concerning the project for Improvement of Tazara Intersection which will mark the construction of the first Flyover in Tanzania under the framework of the grant aid project supported by JICA.

JICA, as well as all stakeholders including every resident of Dar es Salaam and all over Tanzania, have eagerly been waiting for this moment.

Traffic congestion in Dar es Salaam is recognized as a severe problem in Tanzania. According to estimates of the National Bureau Statistics, a total of Tsh. 411.55 billion was lost in the year 2013 due to this congestion.

The Government of Japan, through JICA, has more than a 30-year-history of supporting the improvement of transport infrastructure in Dar es Salaam, starting from the construction of Selander Bridge in 1980.

The construction work of the Tazara Intersection Project will start soon and the fly-over is expected to be completed in October 2018. The project has two values; firstly, this is the key for the easing of traffic congestion in Dar es Salaam; secondly, this is the first fly-over in Tanzania.
 
Kikwete pamoja na kuwa alikua Mwizi ila alijua kula na vipofu

Daraja la kigamboni, Magari ya mwendokasi, na ili daraja la Tazara

Jamaa alikua na vision ya kuona mbali na bright sana kwenye issues za kiuchumi

Huyu jamaa mpaka sasa ajazindua mradi wake hata mmoja tunasubiri labda SGR na Umeme wa maji kama atafanikiwa kabla ya Muda wake kuisha,
Vipi ulitaka huu mradi apige chini ili aje na yake kisa kiki za kipuuz?Kuna mradi wa Airport kwa akili hizi za kibavicha si angepiga chini angeanza yake naye asipomaliza anakuja mwingine anapiga chini.Lingekuwa Taifa la aina gani?Tanzania tuna wasomi wengi sana na kuna mambo mengi sana watu wanaproposal zao za maana ktk kujifanya Taifa lisonge mbele, shida ni utekelezaji sifuri.

Kiongoz makini aamki tu na mawazo yake, anaangalia wapi mwenzie kaishia naye huendeleza. Na hii ni tofaut kidogo na siasa za Huko Malawi, wao wanapenda mashindano kama akili za bavicha.Kila Rais akiingia huja na yake hata ka kuna proposals zinatakiwa zifanyiwe kazi ye anapiga chini imradi tu aonekane kaanza yeye.Na ukiangalia hawana maendeleo. Kila kitu kwenye ilani kimeelezwa na kwa akili hizi za kibavicha jpm inatakiwa yale yote anayotakiwa kufanya kama kuna mkono wa jk nyuma inatakiwa ayaache
 
Kama huelewi basi utakuwa mbumbumbu sana ! ni hivi , hakuna anayepinga yanayoendelea bali kinachopingwa ni upotoshaji , SEMENI UKWELI KUHUSU WALIOANZISHA HII MIRADI BADALA YA KUWASIFU WATU WASIO NA MAONO , awamu ya 4 ilifanya yake na awamu ya 5 imeamua kuwa na kipaumbele cha kuua upinzani na kutokomeza demokrasia , mnaficha nini ?
 
Back
Top Bottom