Hongera ITV Kutuonyesha Live Uchaguzi. TBC Pia Wako Live ila ni Club Raha Leo Mbeya!.

Bado yale ya kukariri mkuu, sijaelewa kwanini mpaka leo hatuziachii akili zetu zitufanye kuwa wabunifu! Akili ni mali, ukiibana, ukiifunga basi utaonekana huna jipya, jiachie, brainstorm, buni, acha akili ikusaidie kwenye lolote ufanyalo, elimu ni ufunguo tu wa maisha, hata uwe na Doctorate, kama hutaiacha akili ifikirie zaidi ya yale unayofanya ni kazi bure tu..
 
Nitampigia kura Mtulia kwa sababu CCM ndio mpango mzima.

Wanawajali sana Watanzania, wametugawia T-shirt na kofia za bure, na jana tulikula pilau ya bure, na pia kila mtu alipewa chochote kitu, ambacho naomba nisikitaje, maana huwezi jua kama PCCB, huwa wanapita humu, nikawaponza watu bure, lakini ili kuonyesha shukrani yetu kwa CCM kutujali kwa fulana na kofia na shibe ya siku moja, na kile chochote kitu, hivyo leo sisi wote kwa pamoja katika umoja wetu tunaichagua CCM.

P
hujajibu kikwmilifu ungesema wanawauzia wazungu lasilimali za tanzania kwa bei ndongo na kuzawadiwa bunduki ili wakitokea watu kuwaambia mambo hayo basi bunduki wanakabidhiwa polis na kuanza kuwanyamazisha wanaopigia kelele kupotea kwa lasilimali zao
 
Hivi hizo hela za mahali akizolipiwa mtulia ili aolewe ccm haijatengwa ya kuwalipa matarumbeta tbc
 
Nitampigia kura Mtulia kwa sababu CCM ndio mpango mzima.

Wanawajali sana Watanzania, wametugawia T-shirt na kofia za bure, na jana tulikula pilau ya bure, na pia kila mtu alipewa chochote kitu, ambacho naomba nisikitaje, maana huwezi jua kama PCCB, huwa wanapita humu, nikawaponza watu bure, lakini ili kuonyesha shukrani yetu kwa CCM kutujali kwa fulana na kofia na shibe ya siku moja, na kile chochote kitu, hivyo leo sisi wote kwa pamoja katika umoja wetu tunaichagua CCM.

P
Mkuu mimi nimekuelewa sana
 
Naona mgombea wa chama cha mauaji (CCM) anapita kukagua upigaji kura unavyoendelea.

Kuna mtabe mmoja kagoma kumpa mkono huyu ‘muuaji’. Hivi ndivyo inapaswa kuwa, kuwatenga CCM and PT associates.
 
no creativity ndio maana vi tv vipya vinaipiki hii tv hata radio ni vile vile hakuna ubunifu!
 
Leo wamedhihirisha kuwa ni super brand tungeonea wapi zile figisu? Hyo TV nyingine ni kwaajili ya events za fisiem
 
Nafatalia live coverage ya uchaguzi kupitia Radio One online, wanajitahidi sana kwanza wanamchambuzi studio na walioko kwenye maeneo ya uchaguzi wanauliza maswali ya msingi sana.
Nilikua namuamini Dr. Ryoba sana kwa msimamo wake, lakini tangu apewe mikoba ya TBC anatenda tofauti na yale aliyokua anasimamia. Bila shaka yeye ni TV, rimoti iko magogoni.
Rio bar na budi wamenifanya niwadharau sana wasomi wa Tanzania bila kumsahau haraka haraka ila huyu sijui kama naye ni msomi
 
TBC imebaki kuonyesha live mikutano ya JPM na kuapisha mabalozi pekee
 
Back
Top Bottom