Hongera issa michuzi kwa kupata shavu voice of america.

nnawasiwasi na taarifa hizo hasa leo ilikuwa tar 1 april foolish day
 
habari za kweli kaka...amepata shavu hilo baada ya kumrithi juma nkamia ambaye ni mbunge wa kondoa hivi sasa
 
endeleza libeneke pande hizo za obama kama kawa.

Mkuu mbona unauzi sana.....nimechukua muda wangu kufungua hii thread kumbe ni upuuzi mtupu...

  1. Kwanza ujaeleza ni kazi gani kapata huko USA
  2. Pili unaonekana ni mtu usiyetaka kutumia kiswahili sanifu......mfano libeneke..pande za Obama what is this? Rubbish...
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
jamani sio mambo ya upuuzi wa tar 1,kama kweli hongera Ankali kwa shavu.
 
..Thibitisheni hii Story. Ama yalikuwa mambo ya April Fool? (mwenyewe!)
 
Back
Top Bottom