Hongera Ihungo Secondary,Kagera kwa kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa

Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa

Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa ambao wote walisoma shuleni hapo kidato cha tano na cha sita
 
Mwenyekiti wa bavicha Taifa J.J Pambalu
Nae ni zao la Ihungo..

Umenikumbusha back in Time Headquarters ya Ihungo Elgon 12

Slogan ya shule mastery for Services

School song:

On the shore of Lake victoria stand Ihungo school...
 
Ihungo Mastery for Service .Makamu wa Raisi pia ni zao la Ihungo. Ile kambi haukuwa mchezo mchezo .uwezo wao mkubwa ulitokana debate pia ambayo iliibua vipaji na kujiamini . Hii public speaking Naona kama wizara imeipuuza.sikujua kama kamanda ni school mate
 
Mwenyekiti wa bavicha Taifa J.J Pambalu
Nae ni zao la Ihungo..

Umenikumbusha back in Time Headquarters ya Ihungo Elgon 12

Slogan ya shule mastery for Services

School song:

On the shore of Lake victoria stand Ihungo school...
Duu nimesahau bweni langu kamanda nyuma ya uluguru kupita kwenye chamber za underground .msaada pls
 
Mwenyekiti wa bavicha Taifa J.J Pambalu
Nae ni zao la Ihungo..

Umenikumbusha back in Time Headquarters ya Ihungo Elgon 12

Slogan ya shule mastery for Services

School song:

On the shore of Lake victoria stand Ihungo school...
Oooh yes kambi Yangu ni Meru .bweni moja bora kabisa
 
I
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa

Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa

Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa ambao wote walisoma shuleni hapo kidato cha tano na cha sita

Acheni uongo nyinyi,IHUNGO haiwezi kuzalisha zero wewe,labda itakuwa vyeti feki
 
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa

Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa

Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa ambao wote walisoma shuleni hapo kidato cha tano na cha sita
Achana na ushule haya ongelea Tabora boys kichwa Cha Tanzania ni wangapi waliopitia hapo.
Hao wanasiasa uliongea kwanza hawawezi kukumbukwa baada ya 200 yrs Ila Boyz wapo watakaokumbukwa mpaka Kiama.
Pia mada hizi achana nazo Mana ndo zinazolisha kuwa sie ni Bora kuliko wale. Mara dini yetu ni nzuri ya wengine ni mbaya. Mnaanza kudundana na kuuana bure.
 
Mshirika wenu Nyakato sec.school humu ni
Nyarusare
Bbujibuji
Huyu mzee wa MsatA nnani vile?
Piicchukodada
Misana

Ongeza wenginee
Hizi shule ziko karibu
 
MsgHizi shule ziko karibu
Mshana anaitwa hivi muhaya huyu
 
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa

Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa

Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa ambao wote walisoma shuleni hapo kidato cha tano na cha sita
Kasome na wewe uje kuwa Rais !!
 
Back
Top Bottom