Hongera IGP Sirro kwa kupunguza Ujambazi, Pole kwa Kushindwa Mateja na Wapiga Debe

Mkuu, hii ni coincidence . Uchumi kwa watu wa sehemu kama Dar umeshuka sana , majambazi nao wamekuwa wapole, hawana deals za kutosha. Wakiiba watamuuzia nani mfano gari maana ukata ni mkubwa. Pia baada ya Dodoma kuwa capital city, Jiji la Dar limepungua wakazi hasa wafanyabiashara ambao wamehamia mikoaani na walikuwa ni target za majambazi.
Tunaweza kutoa sifa ambako labda hapastahili.i

Jambazi ni jambazi hakosi cha kuiba, unTaka kuniambia mabenk hawana Pesa, kuna vijana Wa mpesa wanakaa na hela had I million tano posts na samora, kuna vijibenk vya nmb na crdb wajala na wrote wako pembezoni mwa mji na hawana ulinzi
 
Tofauti ya kibaka/ vibaka na majambazi in hii, kibaka ni yule MTU anayepora vitu vidogo vidogo kwa kushtukiza.kutisha, siraha take ni nyembe misumari , bisbis. Jambazi ni yule MTU anayepanga sehemu ya kuvamia na kuiba mari kubwa, huyu ujipangia muda Wa kuiba na kuondoka, hutumia siraha mzito, kam mapNga soka jambia, bunduki kubwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom