Hongera IGP Sirro kwa kukomesha mauaji Kibiti

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,950
5,692
Habari za jioni Kamarada

Kwanza kabisa napenda kumpongeza kamanda Sirro kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya mda mfupi lakini ameweza kuzima jaribio ovu la kutaka kutuchafulia amani yetu hasa siai watu wa pwani.
Siwezi sema kama amemaliza kabisa tatizo ila kwa sisi tunaojua mbinu aliyotumia ni mbinu za kisasa zaidi na bora maana tangu umeutwaa uIGP hali inaelekea kurudi katika kawaida yake.

Ombi langu endelea na jitihada hizo kuturudishia amani yetu ambayo wapo waliokuwa wanatusema eti kwa kuwa mkoa ni wa pwani basi itakuwa ni magaidi ya Kiislam ndio yanayoua watu kumbe ishu zilikuwa na siasa ndani yake.
Na wale walikuwa au ni majambazi tu na wauaji kama walivyo wauaji wengine

Asante Sirro, asante Serikali.
 
Na misi press conf. zake kwa kweli.

Akiitisha mnitonye jamani, naoenda anavyoongea na kujibu maswali pia.
 
Habari za jioni Kamarada

Kwanza kabisa napenda kumpongeza kamanda Sirro kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya mda mfupi lakini ameweza kuzima jaribio ovu la kutaka kutuchafulia amani yetu hasa siai watu wa pwani.
Siwezi sema kama amemaliza kabisa tatizo ila kwa sisi tunaojua mbinu aliyotumia ni mbinu za kisasa zaidi na bora maana tangu umeutwaa uIGP hali inaelekea kurudi katika kawaida yake.

Ombi langu endelea na jitihada hizo kuturudishia amani yetu ambayo wapo waliokuwa wanatusema eti kwa kuwa mkoa ni wa pwani basi itakuwa ni magaidi ya Kiislam ndio yanayoua watu kumbe ishu zilikuwa na siasa ndani yake.
Na wale walikuwa au ni majambazi tu na wauaji kama walivyo wauaji wengine

Asante Sirro, asante Serikali.
Unaishi dunia gani ww ?
Mauaji mbona yaliendelea hadi jeshi lilipokwenda huko last week.....
 
Karibuni kibiti nyumbani kesho nitafuturisha... mje kwa wingi sana mihogo ni mingi sana hadi take away itakuwepo... msiniangushe tu Kibiti oyeeee
 
Habari za jioni Kamarada

Kwanza kabisa napenda kumpongeza kamanda Sirro kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya mda mfupi lakini ameweza kuzima jaribio ovu la kutaka kutuchafulia amani yetu hasa siai watu wa pwani.
Siwezi sema kama amemaliza kabisa tatizo ila kwa sisi tunaojua mbinu aliyotumia ni mbinu za kisasa zaidi na bora maana tangu umeutwaa uIGP hali inaelekea kurudi katika kawaida yake.

Ombi langu endelea na jitihada hizo kuturudishia amani yetu ambayo wapo waliokuwa wanatusema eti kwa kuwa mkoa ni wa pwani basi itakuwa ni magaidi ya Kiislam ndio yanayoua watu kumbe ishu zilikuwa na siasa ndani yake.
Na wale walikuwa au ni majambazi tu na wauaji kama walivyo wauaji wengine

Asante Sirro, asante Serikali.
Mmmmh Embu Nyamazeni ..hizi kazi za kiiteleginsia haziihitaji Mapongezo na Kiki za Mitandaoni, pongezi hujagaa baadae baada ya mtu kumakiza kazi kabisa. Hapa tunazungumzia kustaafu.
 
Habari za jioni Kamarada

Kwanza kabisa napenda kumpongeza kamanda Sirro kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya mda mfupi lakini ameweza kuzima jaribio ovu la kutaka kutuchafulia amani yetu hasa siai watu wa pwani.
Siwezi sema kama amemaliza kabisa tatizo ila kwa sisi tunaojua mbinu aliyotumia ni mbinu za kisasa zaidi na bora maana tangu umeutwaa uIGP hali inaelekea kurudi katika kawaida yake.

Ombi langu endelea na jitihada hizo kuturudishia amani yetu ambayo wapo waliokuwa wanatusema eti kwa kuwa mkoa ni wa pwani basi itakuwa ni magaidi ya Kiislam ndio yanayoua watu kumbe ishu zilikuwa na siasa ndani yake.
Na wale walikuwa au ni majambazi tu na wauaji kama walivyo wauaji wengine

Asante Sirro, asante Serikali.
Kwani unajuaje kama ni magaidi wa kiislamu mkuu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom