Hongera Idd. F. kwa kuwa Rais wa SUA

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
siku ya jumapili 27/05/2012,wanasua wamepata jembe jipya mwanaharakati wa ukweli IDD,IDD.F.ni rais kijana kuwahi kutokea sua,anachukua education mwaka wa 2,ni mpiganaji wa ukweli hivyo wanasua wanategemea mabadiliko makubwa kutoka kwake pamoja na makamu wake NDAGA DICKSON wa wildlife mwaka 2,sasa tupo tunasherekea ushindi kampasi ya mazimbu,heko IDD,IDD.F.leta mabadiliko ya kweli kwa wasuaso
 
2namtakia kila la kheri ktk kuleta mabadiliko. Mana rais aliyemaliza mda wake ni fisadi kahujumu uchumi wa wanasuaso.
 
Back
Top Bottom