Zanzibar 2020 Hongera Hussein Mwinyi kuutangazia Umma kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi

Hakuna mwanasiasa mcha Mungu kama Dr Shein ila anyway siasa ni siasa tu
Asante mdugu kwa mapenzi yako juu ya Dr. Shein. Huyu kama ni hivo unavoamini wewe basi zenji tungekuwa mbali sana. Kwanza Msheikhe wa UAMSHO wangelikuwa wameachiwa zamani lakini ameshindwa kuwatetea na akamsukumia mzigo Sefu Ali Iddi wakati yeye ndiye kiongozi. Anamuogopa Sefu Iddi kama mdudu wa sikio. Pili, zile pesa za mtoto wa mfalme wa Qatar takriban ya $74 million angelizirudisha kwa wenyewe. Dunia nzima wanajuwa kilicho fanyika. Tatu, angelijiuzulu baada ya kushindwa kura na maalim. Kukubali kuwa raisi kumemtia dosari kubwa . na la mwisho ni pesa za kujenga kiwanja cha ndege zanzibar hazipo na hakuna ajuae uwanja utamalizika lini.
 
Nilimwona Maalimu Seif, mgombea Urais Zanzibar kwa ticket ya ACT Wazalendo wakati wanampokea huko Zanzibar nikastushwa sana na afya yake ilivyodorora.
Alinikumbusha kuhusu afya ya Lowasa ilivyokuwa wakati anagombea Urais mwaka 2015.
KIpindi kile cha uchaguzi wa mwaka 2015, Afya ya Lowasa ilipunguza sana kura zake.
Kama Lowasa tulivyokuwa tunamfahamu angekuwa na afya njema hakika angeweza kupata kura nyingi kumzidi Mh, Dr. Makufuli.
Afya ya Maalimu Seif itampunguzia kura sana kwa sababu hakuna sababu ya Inchi kuongozwa na mzee goi goi ambaye atafanya kazi kwa kuagiza.
Hakika Maalimu Seif wakati anaongea hata sauti ilikuwa haitoki vizuri kama ilivyokuwa ya Lowasa.
 
Back
Top Bottom