Hongera Hilda Newton kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa kichama wa Temeke

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,368
217,411
IMG_20191015_142136.jpg

Ni Matumaini ya kila mmoja kwamba utatekeleza vema na tena bila woga mipango yote ya Bavicha Temeke .

Mungu akutangulie .
 
Huyu Dada nilimshauri aachane na siasa za chadema ,ajenge maisha ahamie ccm ,afate nyayo za kina patrobas katambi , anajifanya anamtetea sana mbowe

Miaka nenda rudi , viti maalumu wanapewa wachaga na wapare , Yeye wanamsahau . , wanamwambia agombee nafasi hizi ambazo hazina hata posho.
 
Umasikni wa akili ndio chanzo cha ukabila wako
 
Huyu Dada nilimshauri aachane na siasa za chadema ,ajenge maisha ahamie ccm ,afate nyayo za kina patrobas katambi , anajifanya anamtetea sana mbowe

Miaka nenda rudi , viti maalumu wanapewa wachaga na wapare , Yeye wanamsahau . , wanamwambia agombee nafasi hizi ambazo hazina hata posho.

Kwani ilikuwa ni lazima aufuate huo Ushauri wako? Mbona na Wewe umeshindwa Kumshauri Mwenyekiti wako Taifa aachane na Kauli zake za Kibabe, Ubishi na pia awe anatutengezea Chaki na Dripu ili Serikali iachanae na Kuingia Gharama Kununua hizo bidhaa kutoka nchi za nje?
 
Mkuu ulivyoongea kwa uhakika kama kweli vile, haya bana hongera kwa mchango wako..

Back
Top Bottom