Hongera Harmonize amekuwa msanii wa pili bongo kufikisha viewers 10,000,000 katika youtube account

homboyz

Senior Member
Oct 19, 2016
127
139
Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube

Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube
Hivi si anatoka kwa wale wale wanaotuhumiwa kununua views
 
Acha uongo sio wa pil nahs n wa tatu kumbka wimbo wa shaaa mpka sa hv anakarbia viewers mil30
Wimbo wa shaa title yake wamei- exaggerate sana, bila kuinusisha hiyo video na mambo ya kierotica sidhani kama ingekua na viewers wengi
 
Anafatia raymond kisha mavoko. Sijui lini akina darasa watafika huko
 
Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube

Atalipwa na Google kwa kufikisha hiyo idadi? na mimi nitoe video yangu!
 
Back
Top Bottom