Hivi si anatoka kwa wale wale wanaotuhumiwa kununua viewsNyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube
Subiri wanakuja,wanakuletea ushahidi wa jinsi alivyonunua views. Lakini ukiwachunguza kwa sana,utagundua kuwa kumbe sababu ni kubuma kwa kajiandae.Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube
Wimbo wa shaa title yake wamei- exaggerate sana, bila kuinusisha hiyo video na mambo ya kierotica sidhani kama ingekua na viewers wengiAcha uongo sio wa pil nahs n wa tatu kumbka wimbo wa shaaa mpka sa hv anakarbia viewers mil30
Apo kidogo umenikomvcNi wa pili kwani huo unaodai wa shaa haupo kwenye account ya shaa
Uliopo kwenye account ya shaa hata 5M haujafika
Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube
Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube
Taja wimbo acha taarabuAcha uongo sio wa pil nahs n wa tatu kumbka wimbo wa shaaa mpka sa hv anakarbia viewers mil30