Hongera Fundi Mchundo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Fundi Mchundo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Jun 26, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,817
  Likes Received: 83,215
  Trophy Points: 280
  Kwa kufikisha post Elfu na ushee. Vipi bado tu hujagraduate ili utoke kwenye ufundi mchundo na uingie kwenye uengineer!?....:)

  Hongera zako nyingi.
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Now here is a felow who guarantees a learned input. Informative and fair without the fluff and pomposity of some pundits in here.

  Hongera Fundi.
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,596
  Likes Received: 1,996
  Trophy Points: 280
  Bubu mambo ya hongera tuyaache kwanza!
  Wacha watu wajadili issues!
  TAIFA LIKO NJIA PANDA NAOMBA UNISIKILIZE AT LEAST ONCE IN A BLUE MOON!
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sio lazima uchangie kila thread kaka, taifa linakuhitaji huko wewe endelea tu, usije kuharibu na hii thread ya hongera, twice in a day.
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  na mimi najimwaya mwaya kutoa hongera zangu kwako uliekuwa fundi mchundo maana nnnamini sasa wewe ni engineer kamili au kwa lugha ya kwetu muhandisi


  michango yako inathamani kubwa ktk jamii yetu na kwa kweli kidole kimoja hakivunji chawa na maana kuwa kuwepo kwako mimi na wenzetu ndio kunakolifanya jamvi hili lichangamke


  kila la heri katika safari yako refu hapa jf na ktk maisha kwa jumla
   
 6. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Shukrani,Mkuu! Ingawa naona haunitakii mema. Watu leo pongezi haikatizi. Kuna kathread kamefungwa, Mkuu.

  Kiingeleza kinanisumbua na ukweli Dy Dx sikuwahi kuielewa! Mimi nitabaki huku huku lakini, ngoja kwanza, si kuna Ph.D bwelele hata kwa wale ambao kimombo hakipandi! Watch this space!

  Asante tena, Mkuu.
   
 7. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha "mhandisi."
   
 8. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Fundi Mchundo,

  Hongera kaka, endelea kumwaga vidonge na kutokosoa tunapokosea!
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,596
  Likes Received: 1,996
  Trophy Points: 280
  Haya...ASANTE FUNDI MCHUNDO!

  NAOMBA UPIGANIE KUPEWA ASANTE NA WATANZANIA BAADA YA UHURU!

  Tukitaka kutoa asante jamani tusubiri baada ya EPA,RICHMOND,KAMATI YA MADINI NA KIGODA KUJADILIWA!

  Taifa zima liko hapa jf!

  TUNATHAMINI MICHANGO YA POSTINGS!

  TULIMSAPOTI MAMA KILLANGO PIA!

  SASA TUWASAPOTI WAZALENDO...SLAA,MWAKYEMBE,SIX,NA WENGINEO WALIOHAKIKISHA KWAMBA MUSTAKABALI WA TAIFA UNAJADILIWA KWANZA KABLA YA ZIMBAWE,BUSH,TSIVANGARAI NA BLAIR!

  NAWASHUKURU WAZALENDO KWA KUSIKILIZA MAONI YA WALE WALIOITWA VICHAA!

  KAMA SITA NA WAZALENDO WENGINE WANASIKILIZA...BASI HATUNA HAJA YA MTU YEYOTE KUSIKILIZA...ITS A DEFINING MOMENT IN OUR LIFE TIME HISTORY!

  WE ARE BLESSED TO SEE THE NEW REVOLUTION OF HUMAN DIGNITY, JUSTICE,HOPE, AND ABOVE ALL THE RULE OF LAW FOR THE MOST POOREST PEOPLE IN THE WORLD WHO HAVENT REALISED THAT THEY ARE ACTUALLY THE RICHEST!

  WE NEED GOOD LEADERSHIP!

  WE NEED OUR COUTRY BACK!

  WE NEED AFRIKA BACK!

  WE NEED HUMAN DIGNITY AND RESPESCT...WE NEED TO BE EQUAL INFRONT OF ALMIGHTY....WE WILL BE VICTORIOUS!
   
 10. O

  Ogah JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  dy dx ndio vitu gani......

  .............hongera sana Fundi Mchundo....wewe ni moja ya hazina hapa JF
   
 11. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lugha za hisabati ya Calculus.

  Lile tawi linaloogopewa kuliko yote katika somo la hesabu. Hawa kina YNIM na Fundi yanaonekana walipitia hiyo taaluma elite!
   
 12. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fundi..................Respect Mkuu!!!

  Kanyaga twende Mkuu!!
   
 13. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Fundi Mchundo,
  hongera kwa michango yako iliyokwenda shule humu ndani, you are one of the few voices of reason and objectivity in here, keep it up!
   
Loading...