Hongera fideline iranga..!!!

roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,365
93
DSC07046.jpg
 
he he hee,hata mimi iliniacha hooooi kweli,hizi tuzo zingine sijui hata zinamaanisha nini,naona huyu mama mitindo kazitoa tu almradi ziitwe tuzo basi,maana hao waliopewa tuzo wenyewe sidhani km wanajua wamepewa kwaajili ya nini,halafu hizo tuzo zenyewe sasa mweeeh.:yuck:
 
Someone needs to tell this dada to take a second look at herself before she gets out of the house
 
msimseme jamani mie nampendaga!

anaturepresent akina sie size plus!

mie nikawa nahofia watu wanavyomsema,itamuaffect self esteem,naona hapo amepata tuzo mambo yatajibalance!

kama ni wewe unashindaga kule kwa michuzi unamsema dada wa watu find something else to do!LOL

CLEARLY KUNA WANAOIFEEEL SWAGGA YAKE DADA FIDE,,,,KEEP YA HEAD UP GIRL!!!!LOL
 
Shida sio plus size wala rangi. Ni hivyo vipodozi anavyojikandika na hizo nguo zisizositiri maungo yake
 
Shida sio plus size wala rangi. Ni hivyo vipodozi anavyojikandika na hizo nguo zisizositiri maungo yake

wewe labda hupendi hivyo vipodozi na hizo nguo ila kuna baadhi ya watu wanapenda na yeye ndio amewatarget!!!...in the world of entertainment is all about knowing your audience!...dear!
 
afu muone huyo kaka anamlia chabo fide,wkt kuna kifaa kingine cha nguvu upande wake wa kulia,,,NAKWAMBIA FIDE YOU ROCCCKKKKKK!!!LOL
 
Mmh
ajawazidi wa jeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeiiiiiiiiiiiiiiifffffffffffffffffuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
msimseme jamani mie nampendaga!

anaturepresent akina sie size plus!

mie nikawa nahofia watu wanavyomsema,itamuaffect self esteem,naona hapo amepata tuzo mambo yatajibalance!

kama ni wewe unashindaga kule kwa michuzi unamsema dada wa watu find something else to do!LOL

CLEARLY KUNA WANAOIFEEEL SWAGGA YAKE DADA FIDE,,,,KEEP YA HEAD UP GIRL!!!!LOL

Ndo yule fide wa pale savei/mlalakuwa? Mbona kawa mnene hivyo? au ni mimi nimesahau? Nakumbuka mara ya mwisho kukutana nae ilikuwa mwaka 2002/3 alikuwa kimodo asiyezidi kilo 55!
 
KAMA SI KUWAUZA WENZAKE KWA WANAUME
NA MENGINE KUMRADHI...SITOWEZA KUYAANDIKA
ANALIPA KWA KWELI HASA YALE MAPAJA YAKE
UTASEMA ALIZALIWA WAAKATI MUNGU ANAKUNYWA """""(s)ENGERETI BARRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRIDDDDDDDDDI"""""""
 
Wenzio wanakimbia tanzania na kurudi we umeamua kudojiiiiiiiiiiiiii
mambo kam ahaya wacha tule wenyewe huyo huyo anyway math
 
Jamani hata kama ana mabaya yake mazuri tumpongeze du mzigo uko njema
yaani mpaka uitafute turning point yake si mchezo lazima value
 
Sioni wanachofanya zaidi ya kuuza sura kuongeza soko la kwenye futi sita kwa sita
 
hahha hhahaha utani mwingine bwana....unazidi mpaka hauchekeshi tena!:rofl:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom