Hongera Esther Matiko kwa kushinda medali ya fedha mashindano ya wabunge Afrika Mashariki

Status
Not open for further replies.

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Jana Esther Matiko amewatoa wabunge wa Tanzania kimasomaso kwa kushinda mashindano ya mbio za mita 400 na kuwa mshindi wa pili hivyo kuibuka na medali ya fedha


State agent

IMG-20191216-WA0025.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Esther Matiko anafaa zaidi kuwa mikimbiaji sio mbunge.Angalia umbo lake limekaa kikimbiaji zaidi sio kibunge
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom