Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Mimi ningekua JK ningezikataa hongera zote na kuwaomba watu wampongeze Dr. Slaa instead. Sasa naiona sababu ya kukataa kukubali kujiuzulu kwa Balali, JK alijua akimfukuza angepata ujiko zaidi kuliko angekubali hiyo resignation and it has worked- Mr Misifa!. Bado tunaisubiri full unedited report ya Ernst and Young tujue uozo wote in deep.Hongera Dr Slaa,endelea kukamua hadi kieleweke.