Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wanajamvi,
Leo nimemwona dr. Lwaitama akiunga mkono kwa nguvu zote UKAWA.
Hawa ni aina ya wasomi weledi ambao hawafungwi na woga katika kutetea ukweli,wasomi wengine wa mwige dr. Lwaitama, njaa zisiwafanye wakane usomi wao.
Msimamo katika ukweli ndio sifa ya msomi makini kama dr. Lwaitama na wengine wanaounga mkono UKAWA ambao wanasimamia maoni ya wananchi ambao ndio wenye nchi yao.