Hongera dr. Lwaitama kuungana na UKAWA

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Wanajamvi,

Leo nimemwona dr. Lwaitama akiunga mkono kwa nguvu zote UKAWA.

Hawa ni aina ya wasomi weledi ambao hawafungwi na woga katika kutetea ukweli,wasomi wengine wa mwige dr. Lwaitama, njaa zisiwafanye wakane usomi wao.

Msimamo katika ukweli ndio sifa ya msomi makini kama dr. Lwaitama na wengine wanaounga mkono UKAWA ambao wanasimamia maoni ya wananchi ambao ndio wenye nchi yao.
 
Huyo Dr.Lwaitama ndiyo nani mkuu? Tafadhali tujuzane maana huwa ni faraja kuona mtu anakiri ukweli na si kutumika tu kama maccm.
 
Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono uhuni unaofanywa na maintrahamwe juu ya maoni ya wananchi kwenye katiba. Maoni ya wananchi yaheshimiwe, hayo ya watawala yakae kando.

Tiba
 
Lwaitamwa alishaa changanyikiwa muda sasa 2010 alifikuria slaa angeshinda tz tangu hapo hajaponaga tena
 
Lwaitama ni suppoter wa CHADEMA miaka yote, kwahiyo sio ajabu sana kusikia anaipigia chapuo UKAWA.
 
Dr. Lwaitama siko zote ni msema kweli
Wananchi tunatakiwa tuungane kudai katiba yetu

Tanzania inahitaji wasomi,wasema kweli na watu makini kama Lwaitama kwa ss kuliko kipindi chochote.Agombee ubunge tumchague ili mchango wake uendelee kuonekana kwa watz walio wengi.Mungu ambariki sana Dr Lwaitama.
 
Back
Top Bottom