Elections 2010 Hongera Dr. Ali Mohamed Shein "kazi njema ya kuijenga Zenj"

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Nampongeza Shein kwani najua kinachokwenda kufanyika kule Zenj,, na kama tusipo angalia watatupiga gape siyo kwasababu Zanzibar ni ndogo bali kwasababu ya selikali ya mseto..

Hongera sana Shein na Seif Hongera Shein.jpg View attachment 16200


pencil.png
 
Mimi namtakiwa Safari njema ya Ikulu lakini nataka kumwambia rafikiyangu Amani Shein asije kuwa kama Ridhiwani kikwete,, hayo ni majukum tu ambayo yanamwisho wake
 
Back
Top Bottom