Hongera Diamond kwa kuikumbuka 'Real Hip Hop'

digalangosha

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
1,554
2,265
Katika ukurasa wa msanii diamond platinumz nimeona kaandika kwamba msanii wa hip hop Nikki Mbishi atakuwepo kwenye wasafi festival 2018......

Nikupongeze sana mdogo wangu kwa kukumbuka ulipotokea, nikimaanisha na wewe ulianzia kwenye hip hop kabla yakubana pua....

Hatimaye wapenzi wa hip hop ngumu tutapata wakati wetu sasa. Ukiachilia konk konk konk master ambaye ushamuhakikishia kuwepo kwenye festival......Nyongeza kama itawezekana Diamond chukua na hawa jamaa wafuatao

1. One incredible
2. Songs
3. Wakazi
4. Godzilla (kama katuliza kichwa)
5. Lord eyes

Maana kwenye matamasha ya mawingu tushakalili wasanii wa hip hop ni wale wale kila mwaka yan
Fid q, rostam, joh makini na weusi,

NOTE: Fanya mapinduzi mdogo wangu uoneshe heshima kwa wana hip hop pia, hata kama hawatokulipa lakini heshima utakayoipata kwa mashabiki wako ndio itabaki milele......
Screenshot_20181112-192627_1542041255918.jpg
 
Tatizo Niki mbishi nidhamu mbovu .
Sema hongera sana wasafi . Nadhani wameona gape la fiesta, kuna ladha za wasanii fulani wa hip hop kama akina songa, one the incridible , P the MC zilikuwa zinakosekana .
Anyway it's a nice move.
 
Akiwapata na ROSTAM itakua poa sana, kwa wasanii wa hiphop ROSTAM bado ni best performer.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom