Hongera dada yangu Komando Jide kwa hii biashara yako mpya ya mamilioni

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,361
12439195_1041357935936816_4909141062190175393_n.jpg
12524232_1041357952603481_1177707459860245749_n.jpg
 
Acheni uongo jamani .

Hii ni kampuni ya Australia ilianza mwaka 1998 sehemu inaitwa Melbourne na baadaye biashara kukua mpaka sehemu inaitwa Perth.

Kwa vile biashara inaitwa Jayde experience haimaanishi ni ya lady Jay de.
Chunguzeni kabla ya kuleta uongo hapa.
 
Hata kama sijasoma Ingilishi kozi, lakini hili chaka siingii..
 
Back
Top Bottom