Hongera dada Jackline Silemu wa ITV kwa uendeshaji mzuri wa kipindi cha Kipima Joto

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Baada ya kundoka Mzee Masako nilijiuliza ni nani atavaa viatu vyake katika kipindi cha Kipimajoto.
Lakini kwa muda mfupi ambao umeendesha kipindi hiki umekitendea haki kwa 100% na umekiendesha kwa umahiri mkubwa hasa kwa vipindi viwili vilivyopita kuhudu Fao la kujitoa na Maafa ya Kagera.
Nakupongeza sana HONGERA
 
Kwa kweli huyu dada anastahili Pongezi, Maswali yake ni kama Mzee Masako! Hongera sana Jackline
 
Baada ya kundoka Mzee Masako nilijiuliza ni nani atavaa viatu vyake katika kipindi cha Kipimajoto.
Lakini kwa muda mfupi ambao umeendesha kipindi hiki umekitendea haki kwa 100% na umekiendesha kwa umahiri mkubwa hasa kwa vipindi viwili vilivyopita kuhudu Fao la kujitoa na Maafa ya Kagera.
Nakupongeza sana HONGERA

yaani kile kipindi cha fao la kujitoa aliwabana kwa maswali wageni wake mpaka wakaanza kuchekacheka tu,huyu dada anajua sana akiendelea hivi atafika mbali sana
 
Nampenda mnooo dada Jackline Silemu.
Anafanya utafiti kabla ya kipindi.Ana maswali mazuri.Ni mtu wa weledi sana.
 
Baada ya kundoka Mzee Masako nilijiuliza ni nani atavaa viatu vyake katika kipindi cha Kipimajoto.
Lakini kwa muda mfupi ambao umeendesha kipindi hiki umekitendea haki kwa 100% na umekiendesha kwa umahiri mkubwa hasa kwa vipindi viwili vilivyopita kuhudu Fao la kujitoa na Maafa ya Kagera.
Nakupongeza sana HONGERA

WEKA PICHA KWANZA!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom