Nimefurahi hamad rashid ametuambia ukweli ambao isingekuwa rahisi kuupata.kuwa ni kweli chadema iliwafata kwa ushirikiano na kwamba cuf wakakataa.tunamshukuru sana.
Ni kweli ametusaidia sana na hilo linaonekana wazi kwenye matokeo ya kura ambazo zimekuwa zikipigwa tangu uchaguzi wa spika na wengineo.Wasiwasi wangu ni kwamba kwa mwenendo wao wa mashirikiano na C.C.M wanajiweka kundi gani kwa huku bara.kimsingi wanacheza pata potea kwasababu itakapotokea mijadala mizito yenye maslahi kwa wananchi tutawashinda C.C.M na wao wakiwemo.Hivyo wamedandia meli wasiyoijua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.