Hongera clouds Fm kwa miaka 19 uwepo wenu.

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
775
743
Hongera sana kwa kutimiza miaka 19 tangu kuanzishwa kwa radio yenu.Naamini waanzili(Ruge &kusaga) wa wazo la uwepo wa kituo hiki waliona mbali,kwani kinatoa mchango mkubwa sana katika jamii,elimu,burudani na pia ajira kwa watanzania wenzetu.Mungu awajalie neema na mdumu kutoa huduma katika jamii ya watanzania.
 
Happy birthday Clouds
Jamaa walisaidia bongo fleva kutambulika na vijana wengi kujiajiri!
Hongera Ruge
 
Back
Top Bottom