Hongera Christina shusho kwa kuwa wa kimataifa Rose mhando iga mfano

GREAT NAME

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
1,069
1,654
Msanii wa kike bongo anayefanya vizuri kupitia mziki wa injili christina shusho,ametoka kimataifa mpaka nigeria na kushirikishwa na gospel artist wa nigeria peaceking,naona sasa mziki wa gospel tanzania unaanza kuvuka mipaka ya afrika mashariki,rose mhando jifunze kitu sio kila siku unatulete gospelbongoflevasingeli zako badilika.
 
Wabongo sijui kwanini huwa tunachuki ya ajabu kwa wenye mafanikio!
Hivi hao mashabiki wote wa rose muhando ni wenda wazimu mpaka uuite muziki wake hivyo?
Ni hivi sijui sasa hivi rose inaonekana anamatatizo flani ila kwa alipokuwa amefikia rose muhando kwa umaarufuki huyo unayemsifia hafiki hata nusu!
Kaangalie tour moja alishawahi fanya rwanda
 
Back
Top Bottom