Hongera channel 10 kwa kuchukua jukumu la TBC

baraker88

Senior Member
Feb 26, 2014
112
134
Nawapongeza channel 10 kwa kuonyesha uzalendo wa kurusha matangazo ya moja kwa moja kutoka kwenye vituo vya kupigia kura nchi nzima. Wakati huo television ya taifa inaendelea kurusha vipindi vyake vya kawaida.TBC jitambueni hili ni jukumu lenu kama television ya taifa
 
wametusaidia kujua hali halisi ya uchaguzi na pia inaongeza hamasa kwa baadhi ya watu waone umuhim wa uchaguzi huu
 
Chnl 10 wameshapata mgao wao ndo mana hawatoi habari za upinzani kiuhalisia. Wanabana sana mwaka huu. Ila tumewanot tunawafanyia kazi soon kitaelweka
 
Chnl 10 wameshapata mgao wao ndo mana hawatoi habari za upinzani kiuhalisia. Wanabana sana mwaka huu. Ila tumewanot tunawafanyia kazi soon kitaelweka

Uwe unajitambua na kwenye ukweli kubali jamaa wapo vzr na wanatupa matokeo kama hivi hao TBC mbona hawaonyeshi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom