Hongera Chanel ten ongezeni jitihada.

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habar wadau,muda mrefu kituo hiki kilikua kina onyesha picha zisizo na muonekano mzuri na sauti pia,leo nimeangalia kwakweli niwape pongezi, ushauri nao wapa mngejitahidi vifaa vya kurusha matangazo mboreshe kwani mabadiriko yanaonekana pia magic fm ingesikika angalau kanda zote za nchi ilikunitanua shukran zote kwa uongozi kuanza kutatua changamoto hizo kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zao, inawezekana Fedha walizopewa na Mhe.Rais zimeanza kutumika ipasavyo.
 
Habar wadau,muda mrefu kituo hiki kilikua kina onyesha picha zisizo na muonekano mzuri na sauti pia,leo nimeangalia kwakweli niwape pongezi, ushauri nao wapa mngejitahidi vifaa vya kurusha matangazo mboreshe kwani mabadiriko yanaonekana pia magic fm ingesikika angalau kanda zote za nchi ilikunitanua shukran zote kwa uongozi kuanza kutatua changamoto hizo kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Channel 10 ni mwanamke gani hata umepata hamu ya kumwangalia? Ana chura?
 
Habar wadau,muda mrefu kituo hiki kilikua kina onyesha picha zisizo na muonekano mzuri na sauti pia,leo nimeangalia kwakweli niwape pongezi, ushauri nao wapa mngejitahidi vifaa vya kurusha matangazo mboreshe kwani mabadiriko yanaonekana pia magic fm ingesikika angalau kanda zote za nchi ilikunitanua shukran zote kwa uongozi kuanza kutatua changamoto hizo kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
chattle broadcast

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom