Uchaguzi Igunga na Pepo za Mabadiliko Tanzania

Hawa jamaa wa CHADEMA ni kiboko. Wamepiga bonge la kampeni watz wote tumeona. Kura walizopata si haba kwa nature ya jimbo husika. Bravoooooo...........
 
peoples power!!! Kwa kweli viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa chadema kazi waliyoifanya ni kubwa sana!! Kwa mimi naamin bila shaka yoyote kura walizopata chadema ni zaidi ya ushindi wa ccm!!!!!!! Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-

1. Chadema haikuwa na mtaji mkubwa wa kisiasa tabora hasa igunga
2. Polisi, usalama wa taifa na bakwata havikuwa upande wake.
3. Chadema imepambana na ccm pamoja na serikali
4. Ujinga na umaskini wa wanaigunga hasa maeneo ya vijijini.
5. Fedha za walipa kodi wa tanzania kutumikia ccm.

Tusivunjike moyo, aluta continua!! The freedom is coming tommorow!!!

tunasonga mbele,mapambano yanaendelea,hakuna kulala hadi kieleweke na kikielewaka hatulali.pipoooooooooz
 
Hongereni sana viongozi na wanachama wote mliojishughulisha kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la igunga. CDM imepata kura nyingi (Iwe zimechakachuliwa au la) , Ccm imepata ushindi mwembamba japokuwa wamemiliki jimbo hilo kwa miaka 18. Msife moyo tuendelee kupigana
kwani utawala wa CCM unaelekea ukingoni.

Watu wengine bana watu wanalia huko na wengine wamezimia halafu unawapa hongera za nn sasa, au ndio kujiliwaza kwenyewe huko
 
It was a nice move for CDM tumewavua kila kona!! Tutawatoa tu hawa wazee, otherwise wabadiliko which is what we want. Huu mfumo wa kijima nchi yetu itaendelea kuwa boya la wazandiki kuja kuponea wakati sisi wenyewe bado hali zetu ziko chini na hatuwezi kuwa washindani katika idara yeyote ile!

Badala ya kuzungumzia kuongeza muda wa kuishi bado tunazungumzia kujenga madaraja, barabara, maji, shule na dispensary. wakati huo huo bado tunaendelea na ujalala wetu wa kupokea bidhaa zilizopitwa na wakati huku tukikenua meno kujisifu tumepiga hatua wakati wachache ndo wanafaidi.

Hongereni sana CDM hakika somo linaingia kisawa sawa kwa wananchi, kilichobaki ni kuongeza kasi na mbinu za kupambana na hawa wazee. Katiba mama, tume huru na kuongeza muda wa somo la uraia vijijini.
 
peoples power!!! Kwa kweli viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa chadema kazi waliyoifanya ni kubwa sana!! Kwa mimi naamin bila shaka yoyote kura walizopata chadema ni zaidi ya ushindi wa ccm!!!!!!! Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-

1. Chadema haikuwa na mtaji mkubwa wa kisiasa tabora hasa igunga
2. Polisi, usalama wa taifa na bakwata havikuwa upande wake.
3. Chadema imepambana na ccm pamoja na serikali
4. Ujinga na umaskini wa wanaigunga hasa maeneo ya vijijini.
5. Fedha za walipa kodi wa tanzania kutumikia ccm.

Tusivunjike moyo, aluta continua!! The freedom is coming tommorow!!!

Good atempt kwa wanaharakti wa kweli..Japo inachoma na kuumiza...
Huwezi amini kampeni za Igunga ni kampeni za nchi nzima koz kila mtu alihamasika na kuguswa nazo...viva Wanachadema..
 
peoples power!!! Kwa kweli viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa chadema kazi waliyoifanya ni kubwa sana!! Kwa mimi naamin bila shaka yoyote kura walizopata chadema ni zaidi ya ushindi wa ccm!!!!!!! Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-

1. Chadema haikuwa na mtaji mkubwa wa kisiasa tabora hasa igunga
2. Polisi, usalama wa taifa na bakwata havikuwa upande wake.
3. Chadema imepambana na ccm pamoja na serikali
4. Ujinga na umaskini wa wanaigunga hasa maeneo ya vijijini.
5. Fedha za walipa kodi wa tanzania kutumikia ccm.

Tusivunjike moyo, aluta continua!! The freedom is coming tommorow!!!

Hela mlizo zi invest Igunga ingekuwa kufungua matawi yangekuwa 1578, mmepata pigo kubwa sana hamna furaha na mmeanza kusambaratika
 
Watu wengine bana watu wanalia huko na wengine wamezimia halafu unawapa hongera za nn sasa, au ndio kujiliwaza kwenyewe huko
we ni hewa kweli chadema wamepiga kampeni si zaid ya miez 2 na wamepishana kdg sn na ccm ambao hy ni ngome yao tk tupate uhuru, KWAKWELI CHADEMA WANASTAIL PONGEZI SN
 
Tusivunjike moyo makamanda wote wa cdm, ninapokaribia kukata tamaa huwa nakumbuka ukweli hushinda, tz imejaa watu katili na mafisadi wakora vibaya sana wasio na hata chembe ya uzalendo kwa taifa hili, lakini pamoja na hayo yote pamoja tutashinda.hongereni sana makamanda wangu wote mliopigana vita ile ya haki na uhuru wa pili kwa wanaigunga tangu kuanza kwa kampeni.poleni kwa yote, aluta kontinua......
 
peoples power!!! Kwa kweli viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa chadema kazi waliyoifanya ni kubwa sana!! Kwa mimi naamin bila shaka yoyote kura walizopata chadema ni zaidi ya ushindi wa ccm!!!!!!! Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-

1. Chadema haikuwa na mtaji mkubwa wa kisiasa tabora hasa igunga
2. Polisi, usalama wa taifa na bakwata havikuwa upande wake.
3. Chadema imepambana na ccm pamoja na serikali
4. Ujinga na umaskini wa wanaigunga hasa maeneo ya vijijini.
5. Fedha za walipa kodi wa tanzania kutumikia ccm.

Tusivunjike moyo, aluta continua!! The freedom is coming tommorow!!!

Kweli Mkuu lakini cha kufanya ni kuweka mikakati ya kuwashukuru wanaIgunga kwa kula walizotoa kwa CHADEMA na kujipanga kushirikiana nao maana hao si watu wachache, kikubwa ni kuwa karibu nao kwa kipindi chote mpka 2015, Hongereni CHADEMA Kazi mmeifanya ni nzuri!!
 
Hongereni sana viongozi na wanachama wote mliojishughulisha kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la igunga. CDM imepata kura nyingi (Iwe zimechakachuliwa au la) , Ccm imepata ushindi mwembamba japokuwa wamemiliki jimbo hilo kwa miaka 18. Msife moyo tuendelee kupigana
kwani utawala wa CCM unaelekea ukingoni.

Chadema ni mbele kwa mbele kama Wavietnam walivowatoa kamasi Amerikani.

Kwa mbinu hizi, CCM will never survive.

We continue counting down.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom