Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Hongereni sana viongozi na wanachama wote mliojishughulisha kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la Igunga. CDM imepata kura nyingi (iwe zimechakachuliwa au la), CCM imepata ushindi mwembamba japokuwa wamemiliki jimbo hilo kwa miaka 18. Msife moyo, tuendelee kupigana kwani utawala wa CCM unaelekea ukingoni.
Soma Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga
Soma Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga