Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

Serikali ya wakoloni ilijenga reli ya Dar Arusha.
Serikali ya CCM ikaua hii reli, baadae serikali ya CCM ikaifufua hii reli kwa manufaa yake halafu watu wanajitoa ufahamu wanaipongeza.
Ni Kama mtu akichafua shati lako, Kisha akalifua. Sijui Kama utampongeza.......
 
Serikali ya CCM chini ya mw/kiti wake raisi JPM kutimiza majukumu yake ktk mikoa yetu ya Kilimanjaro na Arusha, afu na sisi wenyeji wa mikoa hii ambao wengi ni wachaga kumpongeza, huko sio kulamba miguu. Bali ni kushukur kwa kile au yale mazuri yanayofanywa na serikali, tuache kujidanganya kwamb kila kitu tulifanya wenyewe

Hamna mchaga boya wa kutetemekea treni.
 
Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.

Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.

2020 hakuna mchagga atakula Krismas na mwaka mpya Dar es salaam, sote tutakuwa nyumbani Kilimanjaro.

Karibuni wageni.

Maendeleo hayana vyama!
Nauli Tsh ngapi?
 
Ccm wanacreat tatizo zen wanalitatua halafu wanakaa kwenye kona wakisubiri pongezi
 
Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.

Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.

2020 hakuna mchagga atakula Krismas na mwaka mpya Dar es salaam, sote tutakuwa nyumbani Kilimanjaro.

Karibuni wageni.

Maendeleo hayana vyama!
Aliyeuwa safari za treni ndiye anayezifufua na bado anataka kusifiwa ! huu ubwege waufanye masikini wanaolipwa elfu 7 kwa wiki
 
Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.

Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.

2020 hakuna mchagga atakula Krismas na mwaka mpya Dar es salaam, sote tutakuwa nyumbani Kilimanjaro.

Karibuni wageni.

Maendeleo hayana vyama!
Ni Mimi huwa sielewi au kichwa changu kinakataa tu?

Hivi ni nani alisababisha hii root kutokuwepo? Au kufa?

Wafanye majukumu yao

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom