Hongera ccm kumchukuwa bryson mwansimba-chunya

Emil Mwangwa

Senior Member
May 9, 2011
124
24
[h=5]Salaam Wanabodi,

Bryson Mwansimba aliyekuwa kaimu Katibu wa CHADEMA wilaya ya Chunya kabla ya kujiuzuru mwaka huu,leo amehamia CCM.Kulikuwa na tetesi za muda mrefu za yeye kutimkia CCM ambazo amekuwa akizikanusha lakini leo yametimia.Nimefanya nae kazi kwa karibu tangu alipoteuliwa kukaimu uongozi wa wilaya CHDEMA.Namfahamu vilivyo.Kabla ya yeye kujiondoa katika nafasi yake alikuwa na shutuma nyingi za matumizi mabaya ya mali za Chama vikiwamo vifaa na pesa za michango mbalimbali.Wanachama wengi na wadau mbalimbali wamekuwa wakimlalamikia kwa muda mrefu kukusanya michango kwa lengo la kujenga Chama lakini hazifiki katika malengo husika.Aliitwa na Katibu mkuu kwa mahojiano Mbeya lakini aligoma na kuamua kujiuzuru kwa kuhofia kuchukuliwa hatua za kisheria.

CCM hamuwezi kujitapa kwamba mmepata Jembe.Nyie ni watu wa kuchukua reject na mnaziona kama dhahabu,huu ni zaidi ya Uzuzu.Ni mwendeleo uleule wa uzembe na Upuuzi.Hii ndio CCM halisi.Kwa kuwa CCM ni Chama Cha Majangili na wezi wa mali ya umma basi kila fisadi CCM ni nyumbani.Kwa niaba ya WanaChadema Wengi napenda kutoa Shukrani za dhati kutokana na kitendo cha Ndg.Mwansimba kurudi nyumbani kwao kuendeleza malengo yao.Nashukuru kwa wote waliosaidia kuondoka haraka maana ametuchelewesha sana.Binafsi Sitajuta wala kusikitika,jioni hii nitakuwa na hafla fupi ya kujipongeza kwa kuwa nyan’gau moja limetupunguzia mzigo.Kila la heri Bryson ambaye ulianza Ukatibu hata jina lako Ukishindwa kuandika,nilikusaidia nikakufundisha kuandika,lakini kwa kuwa ndani yako kulikuwa na moyo wa Unafiki leo umeonyesha rangi yako halisi.Nakutakia maisha marefu na 2015 ikukute ukiwa mzima wa afya.

Tutakutana Jukwaani.

Emil.[/h]
 
Watu watakufa natural death wataiacha cdm ikiwasaidia wananchi katika mambo mbalimbali ikiwemo bunge na ikulu
 
Kwa nini mmemuacha aende kishujaa kama kweli kafuja mali za chama?
 
Huyu jamaa ni wa kijijini kwetu kule Ifumbo,huwa hana msimamo,na anabahatisha maisha.Hana lolote njaa tu,nasikia kapewa M 1,---- acha aende kwa wny dhambi.
 
Chochote kinachotoka cdm kwa ccm ni LULU.hapo vuvuzela litapigwa mpaka lipasuke
 
Unataka kusema kuwa Slaa ni reject?

Kwa nini mmemuacha aende kishujaa kama kweli kafuja mali za chama?

Umekataa kuwa msukule.
Hoja ya Udini , hebu tulitazame Secretariat ya CCM Kwa dini zao,
1. Abdulrahman Kinana......Muislamu
2. Vuai Ali Vuai..........Muislamu
3. Mwigulu Nchemba ...........Mkristo
4.Asha Rose Migiro..........Muislamu
5. Zakhia Meghji .........Muislamu
6. Seif Khatibu..........Muislamu
7. Nnape Nnauye .......Muislamu

Hebu atujulishe nini kinaendelea hapo CCM ambako ndio anasema Lindi itaelekea pamoja na Gesi itoke au is itoke...........naomba jibu kutoka kwa CCM na washirika wao....​


 
Hoja ya Udini , hebu tulitazame Secretariat ya CCM Kwa dini zao,
1. Abdulrahman Kinana......Muislamu
2. Vuai Ali Vuai..........Muislamu
3. Mwigulu Nchemba ...........Mkristo
4.Asha Rose Migiro..........Muislamu
5. Zakhia Meghji .........Muislamu
6. Seif Khatibu..........Muislamu
7. Nnape Nnauye .......Muislamu

Hebu atujulishe nini kinaendelea hapo CCM ambako ndio anasema Lindi itaelekea pamoja na Gesi itoke au is itoke...........naomba jibu kutoka kwa CCM na washirika wao....​


Hapo Nape ni Mkristu pia.
 
wachumia tumbo wote watatoka wenyewe kwa sababu cdm si chaka lao,vp akina shonza na mwam-cotton leo hii wapo wapi? walishachoka mbaya wamebakiza kelele mitandaoni tu.
 
Kamanda , tunakushukuru sana kwa kuanika uozo wa huyo jamaa , jana nilimwambia kinana kwamba , kwa namna mbeya ilivyo bila shaka hilo alilolipata ni lazima litakuwa galasa tu ! Leo yamethibitika .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom