hongera Bugando ila kelele...

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
819
867
Nipongeze uongozi na watumish was hospital I kwa huduma nzuri na uwajibikaji( ondoa makando ya gharama). Kuna mabadiliko chanya.

Nimekwazwa na disco lililopigwa usiku was kuamkia Leo. Wagonjwa wa wing E hatukulala kwa midundo inayotoka hospital I na watu kupiga kelele.

Haikuwa busara kupeleka disco hill ilippkuwa canteen ya mwatex ambayo pia no Mali ya bugando kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom